Mwanakijiji,
naelewa where you are coming from.
hata hivyo, kwa mazingira ya siasa na mahakama za Tanzania, pamoja na njaa za majaji wetu; ukiniambia nichague nitachagua hela zirudishwe kwanza.
Ni jambo la kawaida mtuhumiwa kukubali kosa polisi akaandika maelezo ya kukiri, na sahihi akaweka lakini akifika mahakamani anaweza kukataa kosa, na akikana confession yake akaachiwa.
Sasa hawa sio wezi wa kawaida; hawa ni watu wenye nafasi zao, ambao wamekwiba wakishirikiana na vigogo; even before haijajulikana walikuwa na mawakili; they knew their defence hata kabla hawajakamatwa. Ukiwafungulia kesi una fifty-fifty chance ya kuwin, ukishindwa maana yake hata hizo hela hutakaa uzione. Ukishinda bado ana haki ya kukata rufaa..anything can happen, including change of leadership..cos kesi kama hizo miaka mitano mahakamani ni kama kawa.
Pia najiuliza, watashtakiwa under which law?
Hawakuiba; walifuata taratibu zilizopindishwa wakapata fedha. Ikifikia mahali pa kesi, wadaiwa wa kwanza watakuwa watumishi wa Bank; and mind you hawa hawana hela, walitoa pesa; wadaiwa wa pili, hayo makampuni, watakuletea makaratasi yanayoonyesha namna walivyoomba pesa na wakapewa bila kuiba wala kufoji; what do you do with them? It is nearly impossible to prove any criminal intent in this type of case.
So, if you ask me, bora kenda wende kuliko kumi nenda rudi
The little money recovered is an achievement; na tena haizuii kuwafungulia mashataka; ila ukianza na mashtaka unapoteza haki ya kutumia njia za kidiplomasia kurecover.
To me whats been done is the better evil