Mpya Kabisaaa!!!......Inayonoga!! Hii Hapa....

umenionea wapi kitufe cha kudislike nakitafuta sana, Bishanga atapata partner hivi punde

wewe uwe patna wa bishanga? si umeniambia nikimaliza niwe nanawa na magadi? sasa inakuwaje tena
 
Last edited by a moderator:
wewe uwe patna wa bishanga? si umeniambia nikimaliza niwe nanawa na magadi? sasa inakuwaje tena

wewe ndo utafanana na bishanga,pamoja na kunawa na magadi kuchukuliwa kifanyio inauma ati
 
kiwatengu bado tuu uko na mimi na KOKUTONA
Ila kashapona na alichokipata mpaka akapona ni siri yetu mimi na yeye wewe kalaghabaho tuu utabakia kusambaza udaku huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…