he! jamani mbona haya majina yanatisha? mara Dragon tena amekuja pusi hahahaha mwe! haya sie tutakunywa na hasa ukizingatia ni "tekiawei" lazima ni tambe na hilo kopo mtaa mzima wanione nina kinywaji
Matumizi ya dola chini ya serikali ya ccm ni makubwa kiasi ya kutishia uwepo wa shs yetu. Mfano machangudoa wa maisha club na maeneo ya Masaki wengine wanataka walipwe kwa dola ya USA. Ni hatari.