Mpya hii kwa mzalendo kijana

Mpya hii kwa mzalendo kijana

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Baada ya vijana kukumbwa na wimbi la kufukuzwa wamenzisha chama cha kisiasa kipya kwa kifupi cHAWADE. Katiba ipo tayari, nafasi kuu zote zipo wazi, e-mail wazalendodemokrasia@yahoo.com

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Nia ya hiki chama ni kulegeza katiba na kukubali mawazo mbadala na kumpa mamlaka mtu na kupinga au kukubaliana bila kulazimishwa jambo lolote ndani ya chama bila kufukuzwa

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Ungezungumza hivyo Chadema na mbaya zaidi Kama sio wa kaskazini ungeitwa masalia na matusi yote unayoyajua
Nia ya hiki chama ni kulegeza katiba na kukubali mawazo mbadala na kumpa mamlaka mtu na kupinga au kukubaliana bila kulazimishwa jambo lolote ndani ya chama bila kufukuzwa

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Tutasikia mengi yanayokinaisha zaidi ya haya,huu mwanzo tu
 
Ngoma ya watoto haikeshi!kwani siku nazo hazigandi.Hii ni mihemko tu ya ujana kwani fahari ya kijana ni nguvu zake!Labda kama ujana wanaouzungumza ni wa style ya JK 2005 alipochaguliwa kuwa rais 'kijana'Kama ni ujana wa umri 18-35 au hata hadi 40 yetu macho!
 
Back
Top Bottom