"Ongea Tanzania! Furahia dk 100 Vodacom-Vodacom, MB 100 na SMS1000 kutumia masaa 24 kwa Tsh1000 tu. Kujiunga piga *149*01# chagua Ongea Tanzania."
Angalau kaunafuu kapo kuliko mb8
Bado cha mitandao yote ni hovyo
Sasa ukijiunga kifurushi cha 500 si unapata mb 200-300 then unajiunga cha kuongea cha mitandao yote kwa 500 nyengine
Tatizo kifurushi cha 500 mitandao yote ni dk 7 tu na voda to voda dk 20
Hiki angalau kwa mambo ya social network mb100 si haba na dk 100 unalonga vya kutosha
Hata hivyo bado
VODA ni waongo hakuna kitu hapo,nimejiunga kwa mwezi kila siku wananiunganisha ROAMING bila taarifa ndani ya siku sita wananitumia sms eti kifurushi kimeisha,kwa kweli laini hii ni ya kupokelea tu simu siweki tena hela,NYAMBAFFFFF
Roaming mbona ni optional?? Na umeieka mwenyewe on kwenye setting za simu.
Kama una android nenda setting halafu more network then mobile network then eka roaming off.
Ila kuna maeneo roaming ina speed kuliko net yao ya voda
"Ongea Tanzania! Furahia dk 100 Vodacom-Vodacom, MB 100 na SMS1000 kutumia masaa 24 kwa Tsh1000 tu. Kujiunga piga *149*01# chagua Ongea Tanzania."
Angalau kaunafuu kapo kuliko mb8
Bado cha mitandao yote ni hovyo
Hakuna kitu, hii ni sawa na kujiunga na kifurushi kile cha 500 cha dakika na MB8, halafu ujiunge tena kifurushi cha internet cha 500 cha MB200
Hivi voda wanacho kifurushi cha 500 cha MB200? au ni Tigo kama voda inacho unajiunga vipi?
Hii ya zantel iko poa sana,,,Zantel aiseee 1GB kwa 1000 tu ndani ya wiki mi nmeanza kutumia toka juzi yaan nmeachana na airtel baada ya kupandisha bei
VODA ni waongo hakuna kitu hapo,nimejiunga kwa mwezi kila siku wananiunganisha ROAMING bila taarifa ndani ya siku sita wananitumia sms eti kifurushi kimeisha,kwa kweli laini hii ni ya kupokelea tu simu siweki tena hela,NYAMBAFFFFF
Tunasubiri baba lao Airtel hawa wanakujaga na mavitu adimu