Mpweke

Mpweke

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Kwa nini upweke wangu unakuwa wa muda mrefu! Who to make me happy
 
Kama we we ni kiumeni, huwa mnajisemea wakikeni ni wengi imekuwaje tena.badili strategy zako
 
Pole...Inawezekana una ugonjwa wa depression. Kamuone daktari. au google kuhusu huu ugonjwa uone kama dalili zake zinafanana na hali unayoisikia... Ukiona zinafanana wahi hospitali haraka upatiwe dawa... Hali yako itarudi kuwa sawa...
 
Back
Top Bottom