Mpwapwa: Wanafunzi zaidi ya 630 wasomea Sakafuni

Mpwapwa: Wanafunzi zaidi ya 630 wasomea Sakafuni

Mkwawabongo

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
154
Reaction score
116

Wanafunzi zaidi ya 630 Mpwapwa Dodoma Tanzania, Wasomea sakafuni kwa kukosa Madawati.
 
Last edited by a moderator:
Kama watanzania wameridhika na maisha waliyo nayo waendelee kuichagua CCM.
Kama wamechoka kama mimi ndo mwaka wetu.
 
Mimi sasa nimekaa kwenye mkeka nasoma computer ambayo nimeiweka kwenye sakafu. Halafu baadaye nikichoka kusoma nitalala kwenye huu mkeka bila godoro . Sijui wewe unalalamika nini.
 
Mimi sasa nimekaa kwenye mkeka nasoma computer ambayo nimeiweka kwenye sakafu. Halafu baadaye nikichoka kusoma nitalala kwenye huu mkeka bila godoro . Sijui wewe unalalamika nini.

Ndo umechangia nini?.
Mada inahusu elimu wewe na habari ya mkeka.
 
Wanafunzi zaidi ya 630 Mpwapwa Dodoma Tanzania, Wasomea sakafuni kwa kukosa Madawati.

Hiyo ndio iwe chachu ya watanzania kuikataa ccm na kuwachagua wagombea wa ukawa ili watukomboe
 
Last edited by a moderator:
Mimi sasa nimekaa kwenye mkeka nasoma computer ambayo nimeiweka kwenye sakafu. Halafu baadaye nikichoka kusoma nitalala kwenye huu mkeka bila godoro . Sijui wewe unalalamika nini.

Hahahajahhahah

Aisee mzee wangu elewa kwanza madhumuni ya nyuzi hii.

Isitoshe pengine wewe umefanya hayo kwa mapenzi yako mwenyewe .

Isitoshe wewe mtu mzima na ulishasoma miaka mingi sana na Sina uhakika kama uliopokuwa una soma ulikaa chini.

Turudi sasa kwenye mada
 
Mimi sasa nimekaa kwenye mkeka nasoma computer ambayo nimeiweka kwenye sakafu. Halafu baadaye nikichoka kusoma nitalala kwenye huu mkeka bila godoro . Sijui wewe unalalamika nini.

Kipaumbele cha kwanza ni ELIMU maana kuna watu kama wewe wengi sana duh inawezekana kuna wazee wanavimba uko kua wana mtoto wa kiume kumbe David na sera zake ameharibu vichwa vya wengi.
 
Mpwapwa nlisoma huko, watu wmelala sana, ila safari hii upepo wa lowasa utawaamsha
 
Halafu eti kati ya wazazi wao wapo watakaoichagua CCM! Hii ni ajabu!!
 
kuna watu hawawajibiki kamati ya shule,mwenyekiti ..wa mtaa,diwani,mbunge,afisa elimu,mkurugenzi.kazi zao hizo uchaguzi ukiisha.tuanzie chini tupunguze lawama.
 
Mimi sasa nimekaa kwenye mkeka nasoma computer ambayo nimeiweka kwenye sakafu. Halafu baadaye nikichoka kusoma nitalala kwenye huu mkeka bila godoro . Sijui wewe unalalamika nini.

Hili jina la huyu Mzee wetu hamlitendei haki kabisa

Uwe na computer na uwezo wa kusoma ukose kiti cha kukalia na mahali pa kusomea ni maamuzi yako binafsi

Je hao watoto kukaa na kusomea chini ni maamuzi yao binafsi?

Halafu ndiyo tunategemea akili za aina hii kuchangia maendeleo...safari bado ndefu hakika
 
Mimi nalala kwenye mkeka bila godoro,siyo bila mto lakini, januari mpaka desemba. Matatizo ya kweli ya hao watoto yajadiliwe,siyo kukas kwenye sakafu. Matatizo niliyoyaona kule,matatizo problems I did not suspect where there kabla sijakwenda kule. Watoto wanakwenda shule bila viatu. Mtoto ambaye hana kiatu utamuona katika kila darasa utakaloingia. Watoto wanaenda demoralized kwa sababu sare za shule zimechamika. Halafu vichekesho anapotoka shule!kuteka maji,kusanya kuni,kupika,nndiyo afikirie kufanya homework. Halafu Mimi nimetaka kusaidia nimeitwa mbakaji,I had to escape for dear life.
 
Ni kweli wanapata shida ila wasubiri huyu mhindi wa jambo plastic amalize tenda ya kutengeneza masanduku ya kula ndipo.halmashauri zao watoe oda kama pesa ipo.kwani waziri mkuu amepiga marufuku madawati ya mbao kutumika kwa madai misitu itaisha.
 
Back
Top Bottom