Ila mimi nalia na hawa mabwana shamba na TMA...wako wapi?.Na Serikali haijaleta ukame wala jua
Kuna mtu aliniambia eti ng'ombe anauzwa mpaka 20, 000 ? Ni za kweli hizi taarifa?Katika minada ya vijijini kwa sasa ni elfu 30-40. Na bei inaendelea kushuka.
Sio kweli. Kule nimeacha ndama wa miezi kadhaa anauzwa 200,000-250,000Kuna mtu aliniambia eti ng'ombe anauzwa mpaka 20, 000 ? Ni za kweli hizi taarifa?
Huko Dutumi morogoro hadi elf tano unapata!!Kuna mtu aliniambia eti ng'ombe anauzwa mpaka 20, 000 ? Ni za kweli hizi taarifa?
Wanasema msiba wa wengi harusi. Lakini kwa hili sio kweli. Nyanya zangu zimekauka zote. Hapa nilipo nasubiri kitunguu na namwomba Mungu kisikutane na mvua.Baada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
Uko serious mkuuHuko Dutumi morogoro hadi elf tano unapata!!
YeahUko serious mkuu
Uko serious mkuu
acha uchonganishi, kuna ukijani kila kona ya nchi hata mtukufu Rais alisema
Tetemeko halijaleta huo ukame.Baada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
Mbuzi kwa sasa ni sh.5000 elfu tano au kisado cha mahindi (kilo nne)Katika minada ya vijijini kwa sasa ni elfu 30-40. Na bei inaendelea kushuka.
Utani tu!Uko serious mkuu