Kisusumbe kama hicho lazima kiambatane na vitendea kazi kama.
1. Kipande cha ndimu au mbilimbi
2. Pilipili
3. Ndizi Mbivu
4. Nzi huyu ni mahsusi kuonesha daireksheni ya wapi kipunga kimekorofishwa.
Nimeshindwa nimReply nani yaani post zote hahahahaha .mbavu zangu ntaenda kuzichomelea wapi na umeme umepanda bei hahaha kipande cha nyama kinalingana kiwiliwili cha mtu hahaha