Mpumbavu ametamani moyoni mwake Serikali ianguke

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,614
2,000
Mtanzania mpumbavu amewaza serikali ianguke akidhani eti Magufuli ndio shida akisahau amekalia kuti kavu.

Mpumbavu amewaza kwa akili ya kipumbavu eti anakata tawi linalo angusha majani juu ya paa lake kumbe ndio tawi amelikalia.

Mpumbavu amezunguka nchi nzima kuwaponda mafisadi leo mpumbavu anawaza kile anakifanya Mh Rais niuwonevu.

Tunawapumbavu wengi na ipo kazi mbele.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,744

Wewe una matatizo makubwa sana!
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,461
2,000
Mtanzania mpumbavu amewaza serikali ianguke akidhani eti Magufuli ndio shida akisahau amekalia kuti kavu.
Mpumbavu amewaza kwa akili ya kipumbavu eti anakata tawi linalo angusha majani juu ya paa lake kumbe ndio tawi amelikalia.
Mpumbavu amezunguka nchi nzima kuwaponda mafisadi leo mpumbavu anawaza kile anakifanya Mh Rais niuwonevu.

Tunawapumbavu wengi na ipo kazi mbele.
Magufuli soma hiyooo

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
1,823
2,000
Mtanzania mpumbavu amewaza serikali ianguke akidhani eti Magufuli ndio shida akisahau amekalia kuti kavu.
Mpumbavu amewaza kwa akili ya kipumbavu eti anakata tawi linalo angusha majani juu ya paa lake kumbe ndio tawi amelikalia.
Mpumbavu amezunguka nchi nzima kuwaponda mafisadi leo mpumbavu anawaza kile anakifanya Mh Rais niuwonevu.

Tunawapumbavu wengi na ipo kazi mbele.
Amina
 
Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,754
2,000
Acha ianguke kwa sababu hamsikii. Mlijiita nyinyi ni dereva wa lori kwa hiyo ata watu wapigeje kelele nyinyi hamsikii. Wazungu wanasema ambao hawasikiagi waache wajifunze kwa njia ngumu zaidi.

Haiingii akilini tuliwaambia mnaharibu uchumi mkatuita mabeberu, vibaraka haya sasa mambo yamewabadilikia sasa mnatafuta huruma ya wanainchi. Na nasema ifuke mwezi ujao nchi isimame kabisa ili wale waliokuwa wanamuogopa Jiwe nao sindano iwaingie ndo akili itarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
1,311
2,000
Mpumbavu ni wewe ulieandika huu upumbavu
Mtanzania mpumbavu amewaza serikali ianguke akidhani eti Magufuli ndio shida akisahau amekalia kuti kavu.
Mpumbavu amewaza kwa akili ya kipumbavu eti anakata tawi linalo angusha majani juu ya paa lake kumbe ndio tawi amelikalia.
Mpumbavu amezunguka nchi nzima kuwaponda mafisadi leo mpumbavu anawaza kile anakifanya Mh Rais niuwonevu.

Tunawapumbavu wengi na ipo kazi mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,782

Mpumbavu sana ni yule ambaye anadhani akiua upinzani nchi itakuwa ya viwanda na kuingia uchumi wa kati 2025.

Tena mpumbavu ni yule anayedhani akijaza kabila lake/watu wa kanda yake kwenye utawala wake basi serikali yake itafurahiwa na kila mwananchi.

Usisahu pia mpumbavu ni yule anayedhani shida za raia wake ni maujenzi makubwa makubwa wakati hata makaburu walijenga zaidi ya hivyo anavyovifanya kule Africa Kusini ikiwemo hadi vinu vya nyuklia na silaha zake.
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,317
2,000
Mtanzania mpumbavu amewaza serikali ianguke akidhani eti Magufuli ndio shida akisahau amekalia kuti kavu.
Mpumbavu amewaza kwa akili ya kipumbavu eti anakata tawi linalo angusha majani juu ya paa lake kumbe ndio tawi amelikalia.
Mpumbavu amezunguka nchi nzima kuwaponda mafisadi leo mpumbavu anawaza kile anakifanya Mh Rais niuwonevu.

Tunawapumbavu wengi na ipo kazi mbele.
Wapumbavu wata anguka wao nanchi inasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom