Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,547
Utamaduni wake etiMi namuonaga mchafuu...
Utamaduni wake etiMi namuonaga mchafuu...
ni kweli mkuu niliamini kwenye huu urafiki wa mpoto na mjomba wakeWatu wa Pwani wanajua ule usemi wa "keep your friends close and your enemies closer".
Kama ni utamaduni wake itabidi nimuelewe..ila kama ni utamaduni wa mwafrika hapana kwa kweli.Utamaduni wake eti
Juzi nilimuona Moshi kwenye wiki ya Nenda kwa usalama barabaraniMpoto yupo China hayupo Tz unaelekea mwezi sasa ivi toka aondoke kwny tamasha sijui la kiswahili