Communist JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 5,400 Reaction score 1,186 Apr 13, 2013 #121 kiwatengu said: Ajaribu jimbo la ubungo Click to expand... Unamuingiza chaka, yeye anataka kinondoni.
kiwatengu said: Ajaribu jimbo la ubungo Click to expand... Unamuingiza chaka, yeye anataka kinondoni.
CHABURUMA Senior Member Joined Jun 26, 2012 Posts 187 Reaction score 69 Apr 13, 2013 #122 Mrisho njaa itakuua achana na si hasa.
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,219 Apr 13, 2013 #123 Youngcaner said: Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni.. Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ........... Click to expand... Bungeni hakuna kuwaza. Mtu anaangalia upepo unaelekea wapi na kuufuata. Ndiyo maana wengine wanachapa usingizi wakiamka wadai wanaunga mkono hoja asilimia Mia moja na posho ya siku hiyo anachukua. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Youngcaner said: Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni.. Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ........... Click to expand... Bungeni hakuna kuwaza. Mtu anaangalia upepo unaelekea wapi na kuufuata. Ndiyo maana wengine wanachapa usingizi wakiamka wadai wanaunga mkono hoja asilimia Mia moja na posho ya siku hiyo anachukua. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Apr 13, 2013 #124 lazima tukubaliane kwamba ni woga ndio unaomyima mtu kutaja chama chake! Big cowardice
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,506 Reaction score 11,439 Apr 13, 2013 #125 Youngcaner said: Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni.. Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ........... Click to expand... Kunalipa. Kama nchi, tumewekeza kwenye siasa
Youngcaner said: Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni.. Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ........... Click to expand... Kunalipa. Kama nchi, tumewekeza kwenye siasa
KV LONDON JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 903 Reaction score 242 Apr 13, 2013 #126 sasa kama hajataja chama,,, huyo bado anaimba nyimbo zake.........
yusufu hezron Member Joined Jan 2, 2012 Posts 88 Reaction score 21 Apr 13, 2013 #127 badala ya kujadili hoja watu mnajadili ujinga suala hapa kasema atagombea sasa masuala ya kejeli yanatoka wapi? acheni umbea nyie
badala ya kujadili hoja watu mnajadili ujinga suala hapa kasema atagombea sasa masuala ya kejeli yanatoka wapi? acheni umbea nyie
yusufu hezron Member Joined Jan 2, 2012 Posts 88 Reaction score 21 Nov 4, 2016 #128 Jambo jema lakini angekuwa wazi zaidi