Mponda agoma kujiuzulu



Nimejaribu ku-Google lakini hiyo London University sijaiona!!! Kuna University of London.

Halfu hiyo ya Research Scientist miaka yote hiyo bila hata ka-publication kamoja imekaa kaaje?? Kwenye Google Scholar haonekani!!

University UK huwa zinapublish graduates kwenye website na kupublish thesis au desertation zao. Mbona jina lake hatulioni wala thesis yake hatuipati kwenye mtandao?? Au ndiyo yale yale ya wabunge wetu??
 
Mponda ana nini cha ziada hadi watu wamchukie yeye ?
Alivyokuwa analidanganya Bunge na taarifa yake ya kupikwa maana yake ni nini ?
Kushindwa kuhimili wizara hadi mambo kufikia mabaya hivi hiyo ni sababu tosha kwa yeye kujiuzuru tayari ,
Umetumwa wewe ?
 
Osokoni....mbona inasemekana Mponda aliwasilisha barua ya kuomba kujiuzulu kwa raisi ila rais akakataa?alichomwambia wewe ujui siasa acha uoga..... source Gazeti la rai la jana.

Hapo kwenye red, Dr. Masaburi alishasema kuwa wabunge wa CHAMA CHETU MATATIZO wote wanafikiri kwa kutumia makalio, sasa MKULU hamuoni mwenye makalio yenye nafuu kumzidi Mpondomoka
 
AJIUZULU TU!

He failed to make good and timely decision to prevent mgomo!
 
Hivi Dr.Mponda alishindana na nani kwenye jimbo lake la uchaguzi?au hakuwa na mpinzani?Huyu Dr bora angebaki kufanya kazi kwenye taaluma yake tu
alishindana na prof. mlambiti wa SUA, ni mzee ambaye anakubalika sana, ila alichakachuliwa na mwenyekiti wa chadema wa wilaya alikimbia na mabox ya kura ya kata ambazo mlambiti zilikua zinampa ushindi. m/kiti alipokea fungu kutoka kwa mponda na kumuuza mzee wa watu ambaye hadi leo bado wanamkubali.
 
Nyie jamaa, Wazushi kweli! Hizi habari za Dr. Mponda kukataa kujiuzulu zimetokea wapi wakati news nyingine zinasema amekataliwa na Mzee Bulicheka na Msanii Mkuu wa Bongo kujiuzulu akiambiwa yeye Dr. Mponda ni mgeni kwenye siasa. Nawataka ama wanaodai amekataa kujiuzulu au amekataliwa kujiuzulu walete uthibitisho wa maandishi. We need proof!

imwan
 
kulingana na hiyo cv yake hakuwa na hadhi ya kuwa waziri kwenye hiyo wizara. ndiyo maana anashindwa kazi
 
osokoni....mbona inasemekana mponda aliwasilisha barua ya kuomba kujiuzulu kwa raisi ila rais akakataa?alichomwambia wewe ujui siasa acha uoga..... Source gazeti la rai la jana.

soma mwananchi ya leo 10/2/2012
 
tanzania yetu watu hawajazoea kujiuzulu bana, mambo mengi yameshatokea makubwa na watu wamekaa kimya tu nadhani umefika wakati watu wawe wanawajibishwa sasa angalau kunaweza kuwa na umakini, watu wachini wanapiga kazi kama punda lakini hao wa juu uko ni kujinyoosha kwenye viti virefu na kula bata, imeanza na madaktari sasa kuna lingine linakuja soon
 
Nimejaribu ku-Google lakini hiyo London University sijaiona!!! Kuna University of London.

Halfu hiyo ya Research Scientist miaka yote hiyo bila hata ka-publication kamoja imekaa kaaje?? Kwenye Google Scholar haonekani!!

University UK huwa zinapublish graduates kwenye website na kupublish thesis au desertation zao. Mbona jina lake hatulioni wala thesis yake hatuipati kwenye mtandao?? Au ndiyo yale yale ya wabunge wetu??
 

Si dhambi kujaribu watendaji mbalimbali hasa unapotaka kufanya utafiti wa matatizo sugu ya Wizara. Kuendelea na mtu asiye na fikra ya kuboresha mazingira ya eneo lake la kazi ni kukubali msiba kila kukicha. Kumbuka uozo wa wizara ya ujenzi na wizara ya ardhi. Kama ni kwa kauli za kukata tamaa, bila shaka leo tungeendelea kusota kwenye barabara mbovu na kesi za migogoro ya ardhi zisingepungua. Nafikiri, Dr Mponda anawajibika kwa hili, aachie ngazi ije damu mpya kama pale National Housing Corporation kwa Nehemia Mchechu.
 
Hakuna issue ya ugeni wizarani huyo Mponda hana uwezo wa kuongoza. Kwa mtu yeyote makini aliyefuatilia toka mwanzo mgogoro huu atakubaliana na madai ya madaktari kwamba aondolewe ktk wizara ya Afya kwa uongozi mbovu.
 

Is Blandina a victim wa mchezo wa sisasa? Why Mponda yeye awe protected and Blandina to take the full blame? Is it because she is a woman or what?
Watu wa kutetea haki za kina mama inabidi wachunguze kwa undani hizi kashfa isje ikawa mama wawatu anafanywa scape goat while the real culprit stays free.
 
Hivi Dr.Mponda alishindana na nani kwenye jimbo lake la uchaguzi?au hakuwa na mpinzani?Huyu Dr bora angebaki kufanya kazi kwenye taaluma yake tu

Huyu hakuchaguliwa, aliteuliwa na Rais kuwa Mbunge na siku mbili baadaye akapewa Uwaziri huo. Na historically, Mawaziri karibia wengi walioteuliwa na Rais kuwa wabunge kwanza, hawafanyi vizuri mambo yao.
 
Kuna matatizo mengi sana wizara ya afya...hili la uongozi nalo ni moja wapo...mfano sasa huyu Mponda lazima aondolewe pale wizarani maana hamna daktari atakayetaka kufanya nae kazi..lazima aondolewe yaani...Pia kuna ukiritimba mkubwa kiuongozi ndani ya wizara ya afya..kuanzia wakurugenzi...kuna mizee pale imezoea kufanya kazi kimazoea..hawataki mabadiliko kabisa...hawa lazima nao waangaliwe ktk reshuffle ....wanatakiwa viongozi wenye nia ya dhati ya mabadiliko ktk sekta ya afya....Reshuffle pia inatakiwa iende koote kwenye agencies za wizara ya afya(nako kuna matatizo yake) na mikoani na wilayani koote ambako pia sehemu nyingine kuna waganga wakuu wa hovyo hovyo wengine walipewa madaraka kishkaji na hawana jipya zaidi ya kutafuna hela za miradi ya afya....pia kwenye baadhi ya mawilaya kuna baadhi ya waganga wakuu ambao ni ma AMO wasio na capacity na wanafanya kazi kimazoea tu.........hili huwa linajitokeza sana haswa pale madaktari(MD) wanapochaguliwa kwenda kufanya kazi kwenye hizi wilaya chini ya hawa ma AMO.....uhusiano wa kikazi kati ya kada zooote za afya ni hatua ya msingi inayotakiwa kuboreshwa saana kama kutafanyika reshuffle kwenye afya TZ...
 
Keep it up Dr.Mponda.
Hakuna kujiuzulu kwa demand ya wachache..
 

watu mnalopoka humu
 
Dr Mponda hakusema sahihi kuwa anawapenda watanzania,hampendi mtanzania yeyote wala hana upendo na watanzania kama alivyojinasibu,tatizo Tz wasomi wetu wanakuwa wanafikinafiki hivi,maana haoni kuwa jambo hilo limeharibika mikononi mwake kama waziri,kwa vyovyote vile hawezi kukwepa lawama hizi,ni yeye,sema anatawaliwa na ubinafsi na ufisadi umejenga miziz moyoni mwake,ni aibu kung'anga'nia wizara iliyokushinda na hata kupelekea vifo vya watu hakafu hutaki kujihuzulu.
MPONDA ondoka uwaziri umekushindi kafanye kazi za jimbo tu na penyewe mwisho wako ni 2015
 
Mponda angejiuzulu mapema kwani madudu yaliyofanyika hapo wizarani alikuwa akiyaangalia tu, misaada ya kinga za Ukimwi, misaada ya maabara iliyotolewa na abbout co. ya kimarekani kuzijenga maabara Tanzania nzima alichakachua, kufagia Muhimbili alikuwa anajua ni Blandina Nyoni akanyamaza
acheni ajiuzulu upesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…