wote ni wachekeshaji ila tofauti ni moja JOTI Anachekesha ukiwa unamuona yani kwa kumwangalia iwe live au video huwa anavijitendo flani ivi na ule mwili wake Lazima akuache hoi. MPOKI huyu jamaa ni Maneno yake matatu tu ukiyaskia lazima ucheke yani ni mchekeshaji kupitia Maneno. Joti anaweza kukuchekeaha kwa kumwangalia tu bila yeye kuongea. wakati MPOKI anaweza kukuchekesha kwa kumskia tu bila kumuona