Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,099
- 10,586
Dah jamaa anatafuta kiki kweny Simba dayAmeyatamka hayo leo wakati alikilitambulisha benchi la ufundi la Simba..
Dah jamaa anatafuta kiki kweny Simba dayAmeyatamka hayo leo wakati alikilitambulisha benchi la ufundi la Simba..
Yani simba iyumbe kisa mc😄😄😄😄😄Hakika manara amewalevya sana watu, Leo nimeona ma mc karibia 5, wote wanasherehesha na bado awakuweza kumfikia bughati
Yupo sawa ni msanii mchekeshaji ulitegemea nini na kongo mziki ndiyo kila kitu.Mwamba kazingua