Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 993
Ni mkuu wa wilaya ya CHATO!!! Kha! Watu wagumu kuelewa hawa!!weka cv yake
Mkuu, nimesusa nini tena? Mbona nipo sana tu?Ka Lizaboni kamesusa!!
Hahahaa mbona huoneshi ishara ya kucheka kama kawaida yako?Mkuu, nimesusa nini tena? Mbona nipo sana tu?
Alikuwa DC wa Chato enzi za kikwete lakini aliacha cheo hicho na kuchukuliwa na Magufuli mara tu baada ya Magufuli kuchaguliwa kama mgombea wa ccm.Ni mkuu wa wilaya ya CHATO!!! Kha! Watu wagumu kuelewa hawa!!
Ulitakaje?? achague kutoka Kilimanjaro ambako CCM haikufanya vizuri kwenye uchaguzi ili aue chama?Ni mkuu wa wilaya ya CHATO!!! Kha! Watu wagumu kuelewa hawa!!
Nazipenda sana teuzi za Magufuli:akiwachagua mawaziri,akimchagua Waziri,akiwachagua wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,akimchagua nani,usually nawafahamu kwa mara ya kwanza baada ya wa wao kuchaguliwa.
Sasa itabidi nitafute kujua Humphrey Polepole ni nani.
[Sina TV in case utauliza kwa nini siwafahamu]
Kweli siwafahamu. Na kama siwafahamu,Watanzania pia hawawafahamu hawa watu.Inahitaji mtu kufikiria zaidi ili aelewe ulichoandika....vinginevyo ataishia kudhani kweli ""HUWAFAMU""
Hata Mbowe hajui,ameongea Leo na Radio UjerumaniMbowe please tuambie Ben yuko wapi