mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,461
- 3,618
Fujo tu!
Kila kimoja kwa wakati wake,tatizo kimoja kinaliwa kila siku na kingine kwenye matukio maalum kama sikukuuNa vikaliwa vyote...
wakubwa mnafaidiKila kimoja kwa wakati wake,tatizo kimoja kinaliwa kila siku na kingine kwenye matukio maalum kama sikukuu
Daaaaa jina lako limekuponza ungepata mwaliko sikukuu ya mwaka mpyaTualikane kwenye pilau jamaa yangu mbona tunatupana sana!
Acha tamaa shekhewakubwa mnafaidi
Mnaona huo mgawanyiko lakini?