Mpishi wa mini-bakery anahitajika

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
717
1,000
Nafasi ya Kazi

Anahitajika mpishi kwa ajili ya mini-bakery ambayo ipo Dar Es Salaam. Sifa za mwombaji ni:

1. Awe Na umri usiopungua miaka 18
2. Awe na ujuzi na uzoefu wa kupika na kuremba keki za aina zote
3. Awe na ujuzi na uzoefu wa kupika mikate ya aina zote
4. Awe na ujuzi na uzoefu wa kupika vitafunwa vya aina zote kama croissants, chapati, maandazi, egg chop, cartles, bagia, sambusa na vinginevyo
5. Elimu ya upishi ni sifa ya ziada.
6. Awe nadhifu na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi na bila kuhitaji usimamizi wa karibu
7. Awe mwaminifu, mwenye kuheshimu muda na kutunza ahadi/miadi.

Mshahara utakuwa maelewano kutegemeana na ujuzi na uzoefu. Tafadhali tuma PM au acha namba yako ya simu hapa ili uelekezwe utaratibu wa usaili na tarehe ya kuanza kazi.
 
joseph swaty

New Member
Feb 18, 2016
1
20

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom