Mpishi anapatikana Arusha/Moshi

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,154
13,376
Habari zenu wanajamvi?

Mpishi mwenye uzoefu wa kupika kwenye shughuli kama harusi,send off,ubarikio,kipaimara nk anapatikana mjini Arusha.(Mtaalamu wa kupika vyakula vya watu wengi na kufanya food cost)

Pia hata kama una birthday party anaweza kukupikia

Bei ni nafuu kulingana na bajeti na mahitaji yako.

Mawasiliano:0752489529 au ni PM
 
Back
Top Bottom