Mpishi anahitajika

Mpishi anahitajika

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,194
Habari zenu. Future Group Company iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, Inatafuta Mpishi wa Kike anayejua kupika Vyakula mbalimbali vya Kichina.

Kama unaweza kupika Vyakula hivyo na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba tuwasiliane kwa namba 0622704744

Ahsante.
 
Back
Top Bottom