Mpishi anahitajika Shinyanga

Mpishi anahitajika Shinyanga

mawindo

Member
Joined
May 18, 2018
Posts
66
Reaction score
104
Anahitajika mpishi anayeweza pika vyakula mbalimbali pamoja na kuandaa vitafunwa ( bites)
Mshahara atalipwa kwa mwezi kadri tutakavyokubaliana.
Malazi juu yangu,
Matibabu juu tangu,
Chakula juu yangu.
Eneo la kazi SHINYANGA
 
Kazi ya kudumu ..Akiwa wa kiume ni vyema zaidi Ila hata wa kike haina shida
 
Anahitajika mpishi anayeweza pika vyakula mbalimbali pamoja na kuandaa vitafunwa ( bites)
Mshahara atalipwa kwa mwezi kadri tutakavyokubaliana.
Malazi juu yangu,
Matibabu juu tangu,
Chakula juu yangu.
Eneo la kazi SHINYANGA
Je unahitaji mpishi wa hoteli, restaurant au nyumbani
 
Anahitajika dada wa kazi za ndani dar, Mwenye umri kuanzia 18-22, anayejitambua na mwaminifu. mazingira ni mazuri na yakuvutia

atutafute kwa namba 0717267636
 
Back
Top Bottom