MNAFU
Member
- Jan 16, 2014
- 99
- 24
Anatafutwa MPISHI wa kupika chakula Kwa ajili ya wafanyakazi wa kampuni. Kampuni Ina wafanyakazi Kati ya 15 na 20 na itamuajiri mpishi Huyu na atakuwa mfanyakazi wake.
Kampuni Hii inafanya kazi zake pembezoni mwa jiji la Dar Es Salaam na Ina utaratibu wa kuwapatia malazi wafanyakazi wake wote. Mpishi Huyu pia atapatiwa Malazi.
Mpishi Atapika chakula cha mchana na usiku pamoja na shughuli ndogo ndogo za usafi wa ofisi wakati wa asubuhi.
Sifa:
1. Mwanamke au Mwanamume mwenye Uzoefu wa kazi ya upishi.
2. Uwezo wa kufanya kazi yake katika mazingira ya hali ya usafi.
3. Uwezo wa kujisimamia mwenyewe bila kufuatwa fuatwa.
4. Mwaminifu katika kutunza bajeti na kudhibiti vyakula atakavyopewa.
5. Elimu yoyote kuanzia darasa la Saba.
Kazi Hii haina ulazima kuwa mwombaji amepitia au emesoma Masomo ya upishi ingawa atakayekuwa na sifa hizo atafikiriwa kwanza.
Kwa anayehitaji au mwenye ndugu anayehitaji nafasi Hiyo tafadhali piga simu no
0768606412 ili uongee na mhusika.