Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,472
- 3,325
- Thread starter
-
- #21
Mkuu mbona wanasema ni issue ya uzazi na matunzo tu mwanamke anakuwa vile vileWanawake wanawahi kuzeeka haraka, huyu wangu tumepishana miaka 13 yani 92 /2003 na tuko sawa
Sawa mkuuOa mkuu
Hajachoka ila umri wa kiutu uzima unamuona ni tofauti na miaka 5 iyopita nilikuwa nakuona mtotoMkuu mbona wanasema ni issue ya uzazi na matunzo tu mwanamke anakuwa vile vile
So wako still unamuona hajachoka?
Hongera mkuuJapo sija muoa, ila Huyu since day 1 kanyooka.
Binadamu hatukosi mapungufu, ila she's cool for me.
Haji manara niajeAdi wewe unamiliki pisi, kweli wanawake wana huruma.
Sawa mkuu neans ulimuoa ukiwa na 35 yrsHajachoka ila umri wa kiutu uzima unamuona ni tofauti na miaka 5 iyopita nilikuwa nakuona mtoto
Kachape vizuriSawa mkuu
Tatizo kameanza salamu shikamoo
Na magoti juu siunajua wasukuma tena🤣
Haji manara mwenyeweHaji manara niaje
Nipo hatua ya kwanzaKachape vizuri
I was 30s yeye alikuwa anaelekea 18Sawa mkuu neans ulimuoa ukiwa na 35 yrs
Nahis kana heahima sana
Hongera mkuuI was 30s yeye alikuwa anaelekea 18
Nakupa code mkuu... Tembelea kwenye nyumba za Ibada misikitini, wale watoto wanapenda ndoa sana na wanaiheshim mnoHongera mkuu
Wengine tutaambiwa subiri nimalize kusoma🤣
Sawa mzee nitazingatia hilo.Sijui mi nilichozingatia ni kuoa mwanamke bikra basi.
Sawa mkuu nimekupata vyemaNakupa code mkuu... Tembelea kwenye nyumba za Ibada misikitini, wale watoto wanapenda ndoa sana na wanaiheshim mno
Kwenye suala la gape hata la miaka 10 fresh halina noma , mwanaume ukiwa na 30 unaoa mwanamke mwenye 20 na ukifanya mchezo mwanamke anaonekana mkubwa kuliko weweSawa mzee nitazingatia hilo.
Pmj mkuuSawa mkuu nimekupata vyema
wahi kabla mafisi hawajakuwahi.Nipo hatua ya kwanza
Nimekaelewa😀😀
Bro una likataa jina lako, na asili yako.Haji manara mwenyewe
Tangu uanze miliki pisi unazingua sanaBro una likataa jina lako, na asili yako.