Watanzania hawana akili ilibidi wagomee kuingia uwanjani kwenye hii dabi ili viongozi waone uchungu maana wanaingiza watu hasara mbwa hawa wanakera sana
Yani Viongozi wanajifikiria wao tu na hizo team mbili.
Hawajatathmini ni kwa kiasi gani wamesabisha hasara kwa mashabiki hasa wenye maisha ya chini, Maana asilimia kubwa ya wanaoenda pale uwanjani ni wenye maisha ya kawaida.
Hebu tukubali kuwa ni ujinga wetu wala sio jambo la kujivunia kila siku kusema hatuna mahali pa kulalamika au kukomesha huu upuuzi.
Simple, mashabiki wote wa mpira mngeacha kwenda uwanjani toka ile mechi ya kipindi kile ilivyoahirishwa so mngeacha viongozi na wachezaji wacheze na kushabikia mpira wao wenyewe.
Watanzania hawana akili ilibidi wagomee kuingia uwanjani kwenye hii dabi ili viongozi waone uchungu maana wanaingiza watu hasara mbwa hawa wanakera sana
Mashabiki wa mpira bongo wangekuwa na akili wangegomea sikumoja kuingia uwanjani maana hawa viongozi wa soka walishaona watz ni wajinga na hawajielewi ndiomaana upumbavu kama huu unaendelea kufanyika
Bodi ya ligi wafanye maamuzi ya weledi, wawaambie simba wakafanye hayo mazoezi ya mwisho jioni hii, halafu mechi ichezwe kesho saa kumi jioni, kuna watu wameghalamika na huu mchezo, bora leo walale uwanjani, kesho wapate haki yao.