hata porno za siku hizi hazina ladhaMi nimetoa naangalia porno
Heri miaka ile ya kina Ronaldo, Redondo na Ronaldinho. UCL sasa inaboa! Ni lini tutawaona tena wachezaji wenye viwango vya uhakika?
Kama kuna thread ina madini ambayo Companero umewahi kuianzisha basi ni hii...
Ngoja niingie maktaba kwanza, ntarudi kwa kuchangia...
Forza Milan
Bravo Dinho...
Kwa viwango vya wachezaji wa sasa kama ile Super Eagle ya kina Emanuel Amunike, Daniel Amokach, Finidi G, Oliseh et al au Indomitable Lions ya kina Roger Miller, Makanaki, Biyiki, Fede et al wangeibukia sasa hivi naamini Afrika tungenyanyua ndoo.
Itatuchukua muda mrefu sana kuona umahiri kama wa Romario, Figo, Costa et al.
hizi zifuatazo zinaweza kua sababu ya kukosa ladha hiyo porno yako ;1)labda hakuna umeme wa uhakika,hata porno za siku hizi hazina ladha
Yaani hapa napata tabu kusubiria hizi mechi za leo za UEFA, sina hata hamasa - Hivi huko Brazili wamefunga viwanda vya kutengeneza mashine za uhakika?
Ronaldo Mabao
Romario Magoli
Rivaldo Maudhi
Ronaldinho Matobo
Roberto Manduki
Denilson Machenga
Dunga Mapasi
Cafu Mambio
Companero Makanzu
Gang Chomba maskills