Anajitafutia vilungu....! Yaani unataka kuongoza nchi ya kidemokrasia inayofuata sheria na utawala bora...! Ila kwenye mchakato wa kupata uongozi huo unatumia njia za kidikteta zisizofuata sheria na si za kiutawala bora...! Kwa vyovyote vile wewe hutufai kuwa kiongozi wetu.Alichokifanya Chamisa ni moja ya vitu ambavyo vimemuondolea uwezo wa kuwa Rais wa kidemokrasia, anayefuata sheria na utawala bora. Hivyo Chamisa hafai kuwa Rais wa Zimbabwe hajatii mamlaka za usimamizi wa uchaguzi !! Wazimbabwe,N.Chamisa hawafai, kamwe hataweza kuwaongoza kidemokrasia, wala kufuata sheria na hataweza kuwaongoza ki-utawala bora. Mmkomesheni, hizo vurugu awapelekee waliomlipa.