Mpinzani sio adui...

Feb 18, 2017
63
62
Hebu tuwe serious muda mwingine. Sisi ni watanzania halafu sisi ni binadamu pia. Hii nchi yetu ina watu wengi. Kuongoza nchi sio shughuli ndogo kwakua huongozi mbuzi bali watu wenye utashi tofauti tofauti. Kuwatenga watu katika makundi kutokana na tofauti zao kutokana na akili ya kujitambua tuliyopewa in nature mwisho wa siku ina madhara makubwa kuliko faida. Huwezi ishi au kuongoza bila changamoto. Kuwa na mawazo tofauti au mtu kukupinga katika maswala ya maslahi ya nchi isiwe sababu ya uadui. Sisi ni watanzania pia sisi ni binadamu, mtakujakutolea hesabu uwakili wenu mbele ya Mungu.
 
Back
Top Bottom