meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Mwaka 1992 Naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani ndugu Augustino Mrema alizuia utoroshwaji wa madini ya dhahabu shehena iliyokadiriwa kuwa ina thamani ya dola za kimarekani $36000 katika uwanja wa ndege wa Dar(DIA).
Mrema kama waziri aliingia front mwenyewe na kufanikiwa kuwanasa wahusika wa utiroshaji huo uliohusisha vigogo serikalini.
Baada ya kitendo hiko Mrema alipata simu kutoka juu ikimtaka kuwaachia mara moja na hatimaye mzigo huo ukayeyuka.
Baadaye Mrema alifurushwa kutoka wizara ya Mambo ya ndani na kuhamishiwa wizara ya vijana kabla ya kuachia ngazi na kujiunga na NCCR-MAGEUZI....na huku alijizolea sifa sana kwa kuendeleza mapambano dhidi ya wizi wa rasilimali na Rushwa.