Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Luhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi.
Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu uteuzi wake na hadi kesi ikaendelea kusikilizwa lakini cha ajabu Samia anaendelea kutamba kwenye kampeni.
Soma Pia: Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025
Hii ndio wabongo wameikata, hakuna haki kabisa ni upendeleo na kujilimbikizia nguvu ya madaraka!
===============
Leo Oktoba 21, 2025, mawakili wa Luhaga Mpina waliwasilisha hoja zao katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma kuhusu kesi ya kuenguliwa kwake kugombea urais kupitia ACT–Wazalendo. Kesi hiyo inahusisha Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.