Kitendo cha bunge la JMT kumkandia na kumtoa mbunge mpina, ni dhahiri shahiri tuna bunge la hovyo kabisa, imagine unamtoa mpina mle bungeni unabaki na nini sasa cha maaana kama suo gwajiboy peke yake

Gwajima mnafiki mkubwa kamlaani sana Mpina jana akiungana na wajinga wengine akina Msukuma na Kibajaji. Tatizo ni CCM wameamua kukumbatia wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali na ukisema ukweli unaonekana siyo mwenzao

Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, lakini kwa vile wameshanogewa na uharamia uliofanyika 2020 wanaweza wakautumia tena na sanduku la kura lisiwe na maana yoyote.
Gwajima mnafiki mkubwa kamlaani sana Mpina jana akiungana na wajinga wengine akina Msukuma na Kibajaji. Tatizo ni CCM wameamua kukumbatia wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali na ukisema ukweli unaonekana siyo mwenzao
IN FACT UKIPATA MTU MAHIRI AKAANDAA KAMPENI NZURI ILIYOSTARABIKA NI RAHISI KUWAPIGA CHINI WABUNGE WENGI WA CHAMA CHANGU.TATIZO HATUJASTARABIKA KIHIVYO.MAANA KAMPENI ZETU ZIMEJAA MATUSI TU.