Kwani ameshatangazwa?GTs,
Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.
Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.
Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.
Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Samia hachomokiGTs,

Kujenga hoja? Kwenye ubunge anaweza kujenga hoja ila sio urais mkuu?GTs,
Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.
Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.
Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.
Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Dkt Samia anabebwa na mfumo wa CCM, yaani udhaifu tulionao CCM ni kuwa wapiga kura bado uelewa mdogo sana hawachagui mgombea bali wanachagua chama, CCM ni dude kubwa. Kizazi chetu hiki bado uelewa mdogo sana. Kabda wabadilike this time.Samia ndio sifuri kabisa kujenga hoja...Bora Mpina. Ungezungumza jambo lingine sio la kujenga hoja mkuu
Ndiyo maana nikaseam hakuna chama cha upinzani cha kushindana na mgombea wa CCM, yani hilo halipo kabisa!Mpina kajipima kaona anauwezo wa kumshinda mgombea wa ccm ... tukiacha Tume ya uchaguzi kuwa ya ccm ,msajiri wa vyama ni ccm ,polisi ni ccm ,mahakama ni ccm . Kwani Samia anauwezo gani wa kujenga hoja ? Uchaguzi ungekuwa huru hata mimi ningegombea .
Hiyo haiwezi kuwa projecf kabisa Mpina kakurupuka. CCM kwenye urais ni big No! Je kafanyiwa vetting saa ngapi mpina kama mgombea wa urais?Kujenga hoja? Kwenye ubunge anaweza kujenga hoja ila sio urais mkuu?
Nashani sababu ambayo siwezi kukupinga ni hiyo ya chini kuhusu CCM kuhusu watanzani kuamini CCM lakini Pia CCM wezi wa kura hawataruhusu upinzani kwa katiba hii waingie ikulu
Lazima reforms zifanyike
Ila hii mm naamini ni mchezo wa CCM ili duniani. Waseme Tanzania kuna upinzani na wana mpango wa kuififisha CHADEMA ndo makada wa CCM wanaenda CHAUMMA na ACT
Damn , basi ni mistake aisee, angerudi pale pale kwenye jimbo lakeYes kuna press release kabisa.
Kwani ACT walikuwa hawana mgombea urais ?GTs,
Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.
Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.
Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.
Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Kweli mkuuDkt Samia anabebwa na mfumo wa CCM, yaani udhaifu tulionao CCM ni kuwa wapiga kura bado uelewa mdogo sana hawachagui mgombea bali wanachagua chama, CCM ni dude kubwa. Kizazi chetu hiki bado uelewa mdogo sana. Kabda wabadilike this time.