GE2025 Mpina awekewa pingamizi na mwanachama mwenza kugombea urais kupitia ACT WAZALENDO

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
58256b80-f61e-4992-bbfb-c4f2305922fe.jpeg

e5a36e04-e5d8-4b73-b2eb-65c5ee4f190d.jpeg

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa.

Kada huyo amedai kanuni za chama hicho, zimekiukwa katika uteuzi wa Mpina, kinyume na taratibu na sheria ya uchaguzi inayoelekeza mtia nia anayependekezwa na chama cha siasa, kukidhi taratibu za kimchakato za ndani za chama husika.

Kutokana na hilo, jana terehe 14 Monalisa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akimtaarifu kwamba Mpina hajakidhi kanuni za kudumu za uendeshaji wa hicho, toleo la mwaka 2015.

Katika barua hiyo, Monalisa amesema vipengele kadhaa vya kanuni namba 16 inayozungumzia sifa za mgombea ndani ya chama na wanaomba kuteuliwa kugombea ACT Wazalendo, vimekiukwa.

Soma Pia: Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

Akinukuu vipengele hivyo, Monalisa amesema,“Kanuni namba 16(4) mgombea urais / viongozi wa chama ngazi ya Taifa, lazima awe mwanachama wa ACT Wazalendo kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi ya mgombea wa chama,”

Ameongeza kuwa, “Mgombea wetu aliyejiunga siku mbili kabla ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais baada ya kuenguliwa kuwania ubunge kwa chama chake cha zamani [CCM] Julai 28, 2025,” ameeleza Monalisa ambaye ni mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam.

Aidha Monalisa ameendelea kusema kuwa Mpina amepingana na kanuni namba16 (4) (iii) inayosema awe tayari kutangaza mali binafsi na vyanzo binafsi kabla ya kuteuliwa kugombea kwa kufuata utaratibu ulioanishwa sehemu ya (vii) ya nyongeza ya Katiba ya ACT Wazalendo.

“Kwa bahati mbaya au makusudi mgombea wetu amevunja kanuni hii kwa kuwa hadi anatangazwa kuteuliwa kuwa mgombea, hakuna pahala popote ameonyesha kutangaza mali zake,” amefafanua Monalisa katika barua hiyo ambayo nakala imeenda Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).

Katika barua hiyo, Monalisa amedai kuwa Mpina amekiuka kanuni muhimu namba 16 (4) (iv)inayomuhitaji kuelewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo kama inayosomea ‘awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo

Hela ya wafadhili wa Chichiemu inaenda mbali saana
 
Naona Lumumba mmetuma kibaraka wenu akaweke pingamizi feki ili tuone kama ACT sio chama cha kazi maalum.

Kumbe ni geresha tu, mwaka huu hizi script zenu hazifui dafu.
Mimi nimemkubali sana huyu Mwanachama Monalisa kwa kuhakikisha misingi ya chama cha ACT WAZALENDO inazingatiwa na kutekelezwa. Yupo imara kama wale wa Chadema walioenda mahakamani kudai Chadema Bara wanawanyonya Chadema Zanzibar na yule mwingine wa Chadema aliyedai akidi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema haikutimia kuwachagua akina Mnyika na Amani Golugwa kuwa Viongozi wa Chadema. Hiki ndicho tunachotaka sisi wapenda demokrasia ya kweli! Ahahahahaha!!!
 
Ngoja nikujibu wewe:

1. Kwanza, walioenda kufungua shauri la CHADEMA Zanzibar kunyonywa na CHADEMA bara ni Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA. Yani miaka yote akiwa Makamu hakujua kwamba Zanzibar inanyonywa mpaka alipopigwa Chini kwenye umakamu wa Mwenyekiti. Huyo Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Maulida Komu, wao ndio wasizmamizi wa Mali za chama kama waliona hakuna mgawanyo sawa wa Mali kama msimamizi mkuu wa chama angechukua hatua. Ila Cha kushangaza anafutwa kwake na kuambiwa sign fomu za kesi naye ana sign.

2. Pili, kuhusu akidi aliyefungua hiyo kesi ya akidi kutotimia Wala sio mjumbe wa huo Mkutano na Wala hakuwepo kwenye huo Mkutano. Utasemaje akidi haitimii halafu hujahudhuria Mkutano?. Ulikuwa unadai uliambiwa na mtu.

All in all mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Nami nakujibu, Wana Chadema mnasema Mbowe ni pandikizi la CCM baada ya Mbowe kuwa Mwenyekiti kwa miaka 20 mkimchagua ninyi wenyewe. Je, miaka yote hiyo hamkujua hadi mmekuja kujua leo?

Nasubiria majibu.
 
Hawatakujibu hili.Wameukimbia uzi,nyumbu
 
Nami nakujibu, Wana Chadema mnasema Mbowe ni pandikizi la CCM baada ya Mbowe kuwa Mwenyekiti kwa miaka 20 mkimchagua ninyi wenyewe. Je, miaka yote hiyo hamkujua hadi mmekuja kujua leo?

Nasubiria majibu.

Swali lako nje ya kile ulichoelezwa hapo juu, Mimi naongelea mambo halisi wewe unaongelea hisia. Kwamba Bwana Mohamed alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar ni kweli, kwamba Maulida alikuwa kwenye Bodi ya wadhamini ni kweli na kwamba Bwana Lembrus Mchome hakuudhuria kikao Cha Baraza Kuu CHADEMA ni kweli.

Sasa wewe unaleta mambo ya hisia ya Mbowe kuwa pandikizi la CCM ambapo sio suala halisia Bali hisia za baadhi ya wanachama.
 
Back
Top Bottom