Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 250
- 969
Kuna mambo Mpina na ACT wazalendo wameshindwa kukubaliana kuhusu Kazi maalum 😂Smartness ya watu wa CHADEMA ndiyo huwafanya wapenye kirahisi kwenye mitego ya CCM na CCM ikilazimisha mambo huonekana inawaonea CHADEMA 😆😆😀
Kama kweli wana kifungu kama hicho basi kweli Mpina OUT!
Jee Mpina siyo Project yao?
At the same time CCM wamevunja kila taratibu ya TumeSmartness ya watu wa CHADEMA ndiyo huwafanya wapenye kirahisi kwenye mitego ya CCM na CCM ikilazimisha mambo huonekana inawaonea CHADEMA 😆😆😀
Kama kweli wana kifungu kama hicho basi kweli Mpina OUT!
Jee Mpina siyo Project yao?
Akisomewa hawezi kufa kwa kuwa anacholalamika ni kweli kwa mujibu ya katiba ya ACT na amekupa na vifungu pale.Anaweza kufa aliyevunja katibaHuyo Monalisa kwa nini asisomewe Kurjuan apate kiharusi au afe kabisa?
Naunga mkono , otherwise wanatafuta kick .Kuna mambo Mpina na ACT wazalendo wameshindwa kukubaliana kuhusu Kazi maalum 😂
Hao akina monalisa na luhaga wote wanakijua chama hicho kina wenyewe wazee wa takbir au wamevamia mtubwi wasiokuwa manahodha ni akina nani na wanaelekea wapi?View attachment 3442759
Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato uliomteua Mgombea Urais wa chama hicho, Luhaga Mpina.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Mpina kufika makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa jijini Dodoma kuchukua fomu ya kugombea urais baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa chama hicho Agosti 7, 2025.
Mpina alijiunga na chama hicho Agosti 5 na kutambulishwa rasmi Agosti 6, 2025, akitokea CCM.
Akizungumza na Jamii Forums leo Agosti 16, Monalisa amethibitisha kupeleka barua yake kwa Katibu Mkuu wa chama hicho akipinga Mpina kupitishwa kuwa mgombea.
Katika barua yake hiyo ambayo pia amewanakili Msajili wa Vyama vya Siasa na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), ameelezea namba vifungu namba 16 (4), (i),(iii) na (iv) vinavyomzuia kuwa Mgombea wa Chama hicho.
“Ni kweli nimewasilisha barua hiyo jana (Agosti 14, 2025),” amesema.
Kwa mujibu wa barua hiyo, ili mgombea Urais wa ACT WAZALENDO ateuliwe na Chama hicho, anatakiwa awe Mwanachama wa Chama hicho kwa siku 30 kabla ya kuteuliwa kwake kifungu ambacho Mpina kinamkataa.
Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu alipotafutwa kuulizwa suala hilo, amesema, “Kwa sasa nipo kwenye kikao, tutaongea baadaye,” amesema.
Monalisa amenukuliwa na vyombo vingine vya habari akisema yeye ni mwanachama wa chama hicho tangu kinaanzishwa na kwamba hayupo tayari kukiona chama hicho kikipoteza mwelekeo kwa kukiuka kanuni za uendeshaji wa Chama chao kama inavyoelezwa katika kanuni za uendeshaji wa Chama za mwaka 2015 na marejeo yake ya mwaka 2024.
Siasa=SihasaView attachment 3442759