Mpina ana wenge au hana notes au ni oversize position?

Blueboy Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2024
Posts
411
Reaction score
607
Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes??

nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani anatakiwa kumpa notes??

Yaani akiongea hata haletee ile feeling ya kuonyesha ana kitu cha kushawishi mtu kumpigia kura kama tulivyo upizani huwa wana kitu cha kitofauti kabs.

Ivi maneno ya kusema kizmkaz aliposema mi mbunge taifa ndo maneno ya kuongea, au Mara sijui nilifukuzwa mimi kwa sababu flan ambazo hata hazishawishi.

ACT Tafadhali embu mpeni nondo huyo mpina mtulizeni kwaza atulie a relax yaan aonyeshe ana nini cha tofauti. Najua mlifanya maumuzi haraka sanaa kumpa kitengo mtulizeni mpeni notes maana yy ndo anategemewa kuonyesha competition. otherwise anaoneka amepewa oversize position.
 
U
Wanataka legitimacy kwenye Jamii ya kimataifa kwamba japo uchaguzi haukuwa na CHADEMA (chama kikuu Cha upinzani) ila ulikuwa na upinzani wa kweli wa ACT (CCM B)
Ahah😂 ile tuendelee kukopeshwa sio
 
Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes??

nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani anatakiwa kumpa notes??

Yaani akiongea hata haletee ile feeling ya kuonyesha ana kitu cha kushawishi mtu kumpigia kura kama tulivyo upizani huwa wana kitu cha kitofauti kabs.

Ivi maneno ya kusema kizmkaz aliposema mi mbunge taifa ndo maneno ya kuongea, au Mara sijui nilifukuzwa mimi kwa sababu flan ambazo hata hazishawishi.

ACT Tafadhali embu mpeni nondo huyo mpina mtulizeni kwaza atulie a relax yaan aonyeshe ana nini cha tofauti. Najua mlifanya maumuzi haraka sanaa kumpa kitengo mtulizeni mpeni notes maana yy ndo anategemewa kuonyesha competition. otherwise anaoneka amepewa oversize position.
Yuko sahihi hata ukiachwa itakuchukua miezi sita kusahau na Ndiyo maana binadamu hofu kubwa (threat) hudumu kwa muda wa miezi 3
 
Mpina sio presidential material!!, hana ushawishi wala hotuba zenye kuvutia hisia za watu kutaka kuendelea kumsikiliza!. Anatembelea upepo wa mgombea dhaifu wa ccm... Katika wakati ambao Tz imepata wagombea dhaifu basi ni kipindi hiki... Mtaani jamii haijui kama kuna wagombea urais.
 
Kwanza mimi sidhani kama kutakuwa na uchaguzi mwaka huu
 
Shida sana. Mtu aliye kuwa anataka ubunge then ghafla eti anagombea urais kweli kweli au ni siasi chafu tuu.
 
Nyie mlimpa ridhaa ya kugombea uraisi ili iweje?🤔

Yaani mtu akibishana na serikali tu anakuwa na qualifications za uongozi.
 
Mpina sio presidential material!!, hana ushawishi wala hotuba zenye kuvutia hisia za watu kutaka kuendelea kumsikiliza!. Anatembelea upepo wa mgombea dhaifu wa ccm... Katika wakati ambao Tz imepata wagombea dhaifu basi ni kipindi hiki... Mtaani jamii haijui kama kuna wagombea urais.
Toka Magufuli na Lissu tu Mpina na Mama😂😂
 
Back
Top Bottom