Mpiga picha wa Konde Gang aondoka rasmi

Mpiga picha wa Konde Gang aondoka rasmi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,856
Reaction score
32,659
Mpiga picha wa Harmonize na yeye aondoka Konde Gang.

@jabulant_ ambae alikuwa mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na msanii huyo ambae ni mmiliki wa lebo ya muziki ya Konde Gang.

Jabulant alianza kufanya kazi na Harmonize mwaka 2018 kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kwamba
"Kila kitu kina mwanzo na mwisho Kwaheri Konde Gang New Life"

Kuendesha record label sio ma*** Kwamba Kila mtu anayo

1690542959395.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ndio vzr kutafuta changamoto sehem zengne kubwa Zaid unafikir atakaa n konde gang miaka yote hiyoo
 
Mpiga picha wa Harmonize na yeye aondoka Konde Gang.

@jabulant_ ambae alikuwa mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na msanii huyo ambae ni mmiliki wa lebo ya muziki ya Konde Gang.

Jabulant alianza kufanya kazi na Harmonize mwaka 2018 kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kwamba
"Kila kitu kina mwanzo na mwisho Kwaheri Konde Gang New Life"

Kuendesha record label sio ma*** Kwamba Kila mtu anayo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
mwenzio amejaribu....wewe anzisha lebo tuone,
 
Back
Top Bottom