Mpiga kinanda naye anasali?

Mpiga kinanda naye anasali?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,027
Swali fikirishi kidogo,Leo nimeudhuria ibada ya ndoa ya jirani yangu hapa kisarawe.

Ndoa imefana sana,ila kuna vitu vimenitatiza kidogo.,mpiga kinanda ametumia mda wote kukaa hadi ibada imekwisha.

Nauliza je na yeye atakuwa amesali wakati hajafuata chochote kinachofanywa na waumini wengine? Pia nimeona wamama wanasare wanawazuia watoto wasipige kelele wakati ibada inaendelea hawa vp nao?

Nielimisheni taratibu zikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea moyoni mwake amekazia fikra Jambo hususa au la.anaweza akawa hajasali kwa tafsiri yako lakini akifika nyumbani huenda anapiga magoti anamwambia Mungu kuwa anamshukuru na Mungu amemuona kazi aliyofanya kwa hiyo Ana mrehemu..ibada ya kweli au Sala is all about you and Lord.MAANA KILA MJA NI SHAHIDI WA NAFSI YAKE. HATUWEZI KUJUA MAMBO YAKE YA SIRI.
 
Si kweli mkuu acha urongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Psalm 149:1-4

Praise the Lord. SING to the Lord a new SONG, his praise in the assembly of his faithful people. Let Israel REJOICE in their Maker let the people of Zion BE GLAD in their King. Let them PRAISE his name with DANCING and MAKE MUSIC to him with TIMBREL and HARP. For the Lord takes delight in his people he crowns the humble with victory.
 
Naona haipiti dakika unapandisha uzi mpaka nyuzi nyingine ndugu mhariri anazifuta fasta!

Unashindana nanani kuupdate nyuzi huku jf shekh?
 
Swali fikirishi kidogo,Leo nimeudhuria ibada ya ndoa ya jirani yangu hapa kisarawe.

Ndoa imefana sana,ila kuna vitu vimenitatiza kidogo.,mpiga kinanda ametumia mda wote kukaa hadi ibada imekwisha.

Nauliza je na yeye atakuwa amesali wakati hajafuata chochote kinachofanywa na waumini wengine? Pia nimeona wamama wanasare wanawazuia watoto wasipige kelele wakati ibada inaendelea hawa vp nao?

Nielimisheni taratibu zikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kutoka nyumbani kuelekea kanisani/ msikitin tayali unaanza kuhesabiwa thawabu tangu atua ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo hasa katika kuabudu kwa nyimbo huwa anaweza akawa deep zaidi ya wengine kwani anawaongoza wengine na pia yupo kwenye nafasi ya kwenda deep zaidi kihisia katika kuabudu kuliko wengine endapo anafurahia anachofanya.
 
Kufuata vitengo sio lazima?
Ndiyo hasa katika kuabudu kwa nyimbo huwa anaweza akawa deep zaidi ya wengine kwani anawaongoza wengine na pia yupo kwenye nafasi ya kwenda deep zaidi kihisia katika kuabudu kuliko wengine endapo anafurahia anachofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wakiingia kanisani huwa hawasali bali wanatafuta sifa na kuombewa
 
Back
Top Bottom