IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,027
- Thread starter
- #21
ni mgawanyo wa majukumu, kila mmoja na nafasi yake. Ingekua lazima wote waende pamoja kwa matendo ya kiibada basi hadi mchungaji/ padre na watumishi wa altare wangefanya sawa na waumini maana wote wanatakiwa wamuabudu Mungu.
Huo mgawanyo wa majukumu mmeutoa katika kitabu gani?ni mgawanyo wa majukumu, kila mmoja na nafasi yake. Ingekua lazima wote waende pamoja kwa matendo ya kiibada basi hadi mchungaji/ padre na watumishi wa altare wangefanya sawa na waumini maana wote wanatakiwa wamuabudu Mungu.
kwa wakristu kuna waumini, watumishi na wachungaji/mapadre, hao wote pamoja na kushiriki ibada lakini pia wana special task
Special task wanazitoa katika kitabu gani?kwa wakristu kuna waumini, watumishi na wachungaji/mapadre, hao wote pamoja na kushiriki ibada lakini pia wana special task
Nipe mchanganuo kwa kutumia biblekwa wakristu kuna waumini, watumishi na wachungaji/mapadre, hao wote pamoja na kushiriki ibada lakini pia wana special task
Ili ibada iende vyema basi kuna huo mgawanyo wa majukumu umewekwa, ukisoma biblia utaona hayo yote wala sio mageni. Mfano katika agano la kale kwa Taifa la Israel kila kabila lilikua na kazi yake maalum ya kufanya na Kulikua na watu wanachaguliwa kuwakilisha hilo kabila kwenye hizo kazi.
kwenye biblia
ukisoma agano la kale utaelewa zaidi niliyoyaandika hapa, ata agano jipya litakusaidia pia.
Husinipe kazi gani be specific mkuu nipe sura/kurasaukisoma agano la kale utaelewa zaidi niliyoyaandika hapa, ata agano jipya litakusaidia pia.
Anza na kitabu cha kutoka, utaona jinsi Moses (Musa) alivyokua anapewa maagizo na Mwenyezi Mungu jinsi ya kumuabudu na namna ya wao wanavyotakiwa kuishi.
Nadhani hatuelewani nasema biblia imeandika wapi majukumu ya mpiga kinanda?Anza na kitabu cha kutoka, utaona jinsi Moses (Musa) alivyokua anapewa maagizo na Mwenyezi Mungu jinsi ya kumuabudu na namna ya wao wanavyotakiwa kuishi.
kwa hivi unavyotaka ww hata nikikupa hiyo mistari hautaelewa maana umejiandaa kubishana na sio kuelewa.
Sina mpango wa kubishana husinilishe maneno mkuu,,nachotaka nitajie naamini nitakuja majukumu ya mpiga kinanda bila mfichokwa hivi unavyotaka ww hata nikikupa hiyo mistari hautaelewa maana umejiandaa kubishana na sio kuelewa.
Mimi nimetoa maelezo ya kiujumla na sio ya mpiga kinanda peke yake, nimeelewa jinsi gani wanagawana majukumu ili ibada ifanyike, kwahiyo mpiga kinanda nae anatekeleza majukumu yake.Nadhani hatuelewani nasema biblia imeandika wapi majukumu ya mpiga kinanda?
Sent using Jamii Forums mobile app