Mphamvu Badili Avatar

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Wana Ndugu,

Tunaomba Mphamvu atueleze Lengo lake la kuweka avatar ya majeruhi wa ajali aliye jaa majeraha Kichwani.

Wengine tuna moyo dhaifu sana. Kama hata ikiwezekana tunaomba MODS musaidie.

Asante kwa msaada..
 
Watu na mambo yao. Tupo tunaokula nyama za watu, hiyo avatar tunaiona poa tu!!!!!
Wana Ndugu,
Tunaomba Mphamvu atueleze Lengo lake la kuweka avatar ya majeruhi wa ajali aliye jaa majeraha Kichwani.
Wengine tuna moyo dhaifu sana. kama hata ikiwezekana tunaomba MODS musaidie.

Asente kwa msaada
 
mmmh, kunani tena?
Ngoja niende intanet kefu

Hiyo kefu wanapika vitumbua vyao vizuri ?
Kama sio hamia kefu yangu mie uje ukutane na "mijitumbua" tumbua moja tu ! Hurudii kingine ! Au hulagi "vitumbua" ?
 
Kumbe kulikuwa na hoja inayonihusu?
Nilikuwa sijafahamu mwenzenu, kama kuna damages zozote nimesababisha msisite kunijulisha tuangalie namna ya kuzi-cover.
Sawasawa?
 
Wana Ndugu,
Tunaomba Mphamvu atueleze Lengo lake la kuweka avatar ya majeruhi wa ajali aliye jaa majeraha Kichwani.
Wengine tuna moyo dhaifu sana. kama hata ikiwezekana tunaomba MODS musaidie.

Asente kwa msaada

Hii yangu je?
MP.
 
Hajitambui huyu shoga

Jr
 
Mkuu vipi, mbona unajibu thread ya mwaka 2012 tena kwa jazba? Mbona uzi wa zamani sana, miaka mitano na nusu iliyopita? Au labda kuna kitu mi sielewi
Atakuwa ni mtu nimekwaruzana nae mahali, kaja na ID nyingine kaamua kulianzisha. Intel yangu inaniwezesha kumfahamu na kumshughulika, lakini ya nini?

Afu anakuja hapa kusema mambo ambayo shoga zake akina Anti Dedee wanafanya kimya kimya...
 
Back
Top Bottom