Kila mtu ana issues ambazo anaziona kama zingerekebishwa basi mahusiano yatakuwa mazuri. Lakini sio kweli.
1. Kuna wapenzi wananuka midomo, nywele, Kikwapa, Uchi wa mbele, Uchi wa nyuma.
2.Kuna wale wanaojua namna ya kudhibiti hali hizi kama ni harufu nk na kuna wale wasiojua au wasiotia maanani suala la harufu.
Unapo mpenda mwanamke, unampenda na mapungufu/ madhaifu yake. Ukomavu kwenye maisha ni pamoja na kutatua issue kama hizi, huku ukihakikisha heshima ya mwenzio na heshima yako umezilinda. Huzunguki ukiomba msaada kama vile nyumba inaungua.
Huwezi kuendesha mahusiano yeyote kwa kufuata ushauri wa watu.
Huitaji kuwa umetembea na wanawake 100 ili uwe na uzoefu wa wanawake. Wooote wana mapungufu yao sawasawa na kama ambavyo wanaume wana mapungufu yao, mfano: uume mdogo,kukojoa haraka, kuongea hovyo,kunuka kikwapa, dharau,majigambo, uzinifu,uongo nk.
Hivyo basi, ninacho jaribu kusema ni kwamba ni vigumu kupata mwanamke perfect. Unachopata ni yule uliyemtafuta na ambae uko tayari kukua nae, when it is good or when times are rough! Grow up bro! There is more to life than mwanamke kujamba!