Utoto mwingine bwana! Yani hadi unamzalilisha mwenzio kiasi hiki!
akina dada, angalieni aina za wanaume waliomo humu duniani.kuna wengine ni binadamu, wengine wanafanana kitabia na binadamu,wengine wanafanana na wanyama kitabia na wengine ni wanyama kitabia.
Sasa huyu dada wa watu, anajua amepata mtu, kumbe kapatikana.siri zote zinaletwa humu ndani.nina wasiwasi na umri wa huyu kijana, au malezi yake.kama ana umri zaidi ya miaka 25, basi hata ndoa yake itakuja kuwa na matatizo.
Hebu jaribu kuuliza hili swali kwa dada zako hapo nyumbani uone kitakachotokea!
Utakuwa lini wewe? siri zako na mpenzi wako unaleta hapa ili iweje!! wewe mwehu nini?
jamani wana jf nawasilisha kwenu hili tatizo linalomsibu gal wangu maana iz too much
nikiwa nasex naye huwa anaachia mizinga[mashuzi] si kawaida katka game anaweza hata akaachia mara 3 na zaidi
nimewaeleza rafikizangu wa karibu wengine wakaniambia labda kunawatu wanamla 0712
wengine wananiambia ndo maraha na mizuka anayopata afikapo kileleni that why anajamba
so naombeni ushauriwenu/mawazo/maoni nk maana hii hali inanikera sana#