Jamani hivi inakuaje mtu unakuwa na girlfriend wako afu inafika time anakwambia ye mambo mengi afu sometime anakuwa na jeuri, kiburi, then anapenda sana kukaa na wanaume wengine na si wewe?
Waungwana toeni mawazo
Hivi mlishawahi kuona mtu anatoka na mwenzi ambae japo anampenda lakini anakuwa embarrassed kuwa nae in public? Sijui nawazaje leo, kha!
Hii ina tokea!
Ahsante loya. Nikajua naanza kudata. Na unakuta the embarrassing character yeye anaiona kawaida tu hata ukiisema. Mwisho mnajikuta mnakwepana sasa. Mmh, dunia ngumu sana hii.
Hivi mlishawahi kuona mtu anatoka na mwenzi ambae japo anampenda lakini anakuwa embarrassed kuwa nae in public? Sijui nawazaje leo, kha!
Tukiacha swala la wapenzi nadhani kuna watu una wapenda lakini kuna sehemu sehemu kwenda nao huwezi na una kwepa! Mambo ya binadamu hayo! Yeye kwake anaona kawaida tu maana kazoea!
word loh
Kuna meeting nilikaa next to mdada mrembo, hanuki jasho so that was a plus. Anachokonoa pua na kuviringa makamasi throughout. Sipati picha umeenda nae dinner, mmmh! Mitihani ya maisha
Kuna meeting nilikaa next to mdada mrembo, hanuki jasho so that was a plus. Anachokonoa pua na kuviringa makamasi throughout. Sipati picha umeenda nae dinner, mmmh! Mitihani ya maisha
Hahahahaha! Au anakula huku anaongea , anaacha kinywa wazi mpaka unaona chakula kilichopo ndani ya mdomo. na anatafuna nywa , nywa , yaani mpaka kinywa kinatoa sauti. akitaka kitu mfano maji hakuombi ananyoosha mkono mpaka yalipo. Hahahahaha aaaaaaaaaaaaaaa! na huyo je utasemaje @ King'asti
si bora kuongea, anachekaaa na misosi iliyotafunwa nusu imetulia juu ya ulimi. ushawahi ona mtu anacheka hadi unaona kimeo (sijui ndo kidaka tonge?). aaah, acha tu aisee. shukuru Mungu kama wazazi wako walikufundisha manners. mtu akinywa maji anavuuta utasema dawa ya pumu :shut-mouth: