Mpenzi

simple s

Member
Oct 3, 2011
13
2
Jamani hivi inakuaje mtu unakuwa na girlfriend wako afu inafika time anakwambia ye mambo mengi afu sometime anakuwa na jeuri, kiburi, then anapenda sana kukaa na wanaume wengine na si wewe?
Waungwana toeni mawazo
 
too early to judge but may be on the way kukupiga chini

anaona hufai kuuza nae sura
 
Kabla cjajaj, tabia na mwenendo wako ni wa wewe nawe kujiuliza.....pengine una'mboa.....maana kuna wanaume wengine kazi yetu ni kujisifiaaaaa.....mimi hivi, mimi vile......tukipewa mzigo...tunapata below. Anza kujicheck wewe kwanza
 
Hakupendi!
Hana dira na wewe
Anaona unampotezea muda!

Jamani hivi inakuaje mtu unakuwa na girlfriend wako afu inafika time anakwambia ye mambo mengi afu sometime anakuwa na jeuri, kiburi, then anapenda sana kukaa na wanaume wengine na si wewe?
Waungwana toeni mawazo
 
Hivi mlishawahi kuona mtu anatoka na mwenzi ambae japo anampenda lakini anakuwa embarrassed kuwa nae in public? Sijui nawazaje leo, kha!
 
Tukiacha swala la wapenzi nadhani kuna watu una wapenda lakini kuna sehemu sehemu kwenda nao huwezi na una kwepa! Mambo ya binadamu hayo! Yeye kwake anaona kawaida tu maana kazoea!

Ahsante loya. Nikajua naanza kudata. Na unakuta the embarrassing character yeye anaiona kawaida tu hata ukiisema. Mwisho mnajikuta mnakwepana sasa. Mmh, dunia ngumu sana hii.
 
Kuna meeting nilikaa next to mdada mrembo, hanuki jasho so that was a plus. Anachokonoa pua na kuviringa makamasi throughout. Sipati picha umeenda nae dinner, mmmh! Mitihani ya maisha
Tukiacha swala la wapenzi nadhani kuna watu una wapenda lakini kuna sehemu sehemu kwenda nao huwezi na una kwepa! Mambo ya binadamu hayo! Yeye kwake anaona kawaida tu maana kazoea!

Daah hapo lazima uzalendo ukushinde na unakuta mmezoena lazima useme umeshiba!

Kuna meeting nilikaa next to mdada mrembo, hanuki jasho so that was a plus. Anachokonoa pua na kuviringa makamasi throughout. Sipati picha umeenda nae dinner, mmmh! Mitihani ya maisha
 
It seems you have lost attraction buddy.......you have become more predictable,in short a wussy!
 
wengine huwa hapendi kuonekana na watu kama anatembea na mtu fula na ndo maana huwa wanapenda kujichanganya na wengine nimazoea kukaa vijiweni na wengine wapenzi wao wanawaboa
 
Kuna meeting nilikaa next to mdada mrembo, hanuki jasho so that was a plus. Anachokonoa pua na kuviringa makamasi throughout. Sipati picha umeenda nae dinner, mmmh! Mitihani ya maisha

Hahahahaha! Au anakula huku anaongea , anaacha kinywa wazi mpaka unaona chakula kilichopo ndani ya mdomo. na anatafuna nywa , nywa , yaani mpaka kinywa kinatoa sauti. akitaka kitu mfano maji hakuombi ananyoosha mkono mpaka yalipo. Hahahahaha aaaaaaaaaaaaaaa! na huyo je utasemaje @ King'asti
 
si bora kuongea, anachekaaa na misosi iliyotafunwa nusu imetulia juu ya ulimi. ushawahi ona mtu anacheka hadi unaona kimeo (sijui ndo kidaka tonge?). aaah, acha tu aisee. shukuru Mungu kama wazazi wako walikufundisha manners. mtu akinywa maji anavuuta utasema dawa ya pumu :shut-mouth:

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa! yaani umenifanya nicheke sana , U make my Day @ King'asti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom