Kwa hiyo huyo binti amemiss ucheshi wako, na matusi mliyokuwa mkitukanana! Mbwa wewe! Msenge wewe matako wewe! fala wewe! [emoji848]
Mkuu usijifanye shujaa kwa kila mwanamke, utaharibu ndoa yako.
Fikiria mke wako nae kwa kila X wake ambae hana raha awe anamsaidia, itakuaje?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Ambacho hujaelewa hapo ni kipi ?Kwa hiyo huyo binti amemiss ucheshi wako, na matusi mliyokuwa mkitukanana! Mbwa wewe! Msenge wewe matako wewe! fala wewe! [emoji848]
Wapi nimeandika sijaelewa?Ambacho hujaelewa hapo ni kipi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo huyo binti amemiss ucheshi wako, na matusi mliyokuwa mkitukanana! Mbwa wewe! Msenge wewe matako wewe! fala wewe! [emoji848]
Mkuu wote watu wazima hapa, unapoandika jambo, tunaweza smell what is behind your words.Umesoma na kuelewa kweli? Kuna sehem nimejifanya shujaa au kutaka kuharb ndoa au namshangaa huyu huku nikijiuliza yawezekana mke wangu nae yanamkuta
Mkuu wote watu wazima hapa, unapoandika jambo, tunaweza smell what is behind your words.
Ushujaa wako unaanza kwenye "mawasiliano yamerudi" na nina hakika mnawasiliana kwa kuibia sababu mnajua its Wrong.
Na kama unavyojua mahusiano au kuchepuka kunaanza na mawasiliano kama hayo yenu, na kwa kadri unavyomsikiliza shida za ndoa yake, ndivyo utavyojikuta unatamani kumsaidia kwa namna moja au nyingine (ushujaa)
Na mkeo atakapojua ndipo utaelewa nini maana ya kuharibu ndoa.
Ni hayo tu.Kama nimekuelewa vibaya, usijali sisi wengine vichwa vigumu.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Sometimes wala hata haihusiani na masuala ya kupelekeana moto, mpenzi wako ukimuhandle kama rafiki hua zinakaaga kichwani zile moments za utani, ucheshi, kujali n.k