Mpenzi wangu tangu apate kazi ametingwa sana, hana muda na mimi

Kadiri mwanamke anavyo zidi kujiinua kiuchumi ndivyo anavyo jiweka mbali kuwa na wanaume.

Utasubiri Sana.
 
Hallo ndugu zangu

Nina mchumba wangu ambaye tumepanga kuoana mimi na yeye mwaka kesho. Ila hali za huyo mchumba wangu mpaka sasa hivi na shindwa kuzielewa kabisa.

Mimi huyo mchumba wangu ni mtu ambaye amesoma ni msomi kabisa na anafanya kazi ya usecratary kwenye kampuni fulani apa mjini. Na mimi na fanya kazi zangu mjini apa za kawaida tu.

Sasa huyo mchumba wangu tangu apate kazi hiyo ni mtu wa ubize ubize tu kila saa yaani yeye hana mda wa kutulia nyumbani kabisa eti labda unaweza kuonana naye au kuongeya naye kwenye simu mda uo hana ni mtu wa ubize ubize na nikikutana naye mda wote yeye ni mtu wa kunikosoa kosoa hata kama yeye ndo ana kosa mda wote yupo ivo tu

Hivi ni njia gani ni tumie kuishi na mwanamke kama huyo au nimpege chini ni mtafute mwanamke ambaye ajasoma kama mimi
Maana hawa wasomi mmmm sio watu wazuri kabisa wanajiona wadogo zake Mungu
Mpe mimba
 
Tatizo ni wewe , bado hujakuwa hujitambui vizuri, hujiamini labda kwasababu ya elimu yako au kazi unayofanya na kipato chako"

wapo wanaume wenzio ambao hivyo vitu vyote hawana lakini wana jiamni sana katika sekta ya mapenzi na mahusiano.. kiasi cha kwamba mwanamke atamuheshimu tu pamoja na mapungufu aliyokuwa nayo,

lakinoisasa wewe mapungufu yako yanakukosesha confidence,

Tatizo sio usomi wala kazi aliyonauo tatizo ni wewe ... ! Huo usomi wa sekretarieti kwa karne hii unaita usomi?
 
Kadiri mwanamke anavyo zidi kujiinua kiuchumi ndivyo anavyo jiweka mbali kuwa na wanaume.

Utasubiri Sana.
Hii misemo isiyonamaana sijuwi nani huwa anawalisha..! ?,

So akijiweka mbali na wanaume anakuwa karibu na wanwake ?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ukiona mtu hakutafti na hoja yake anakwambia anakuwa busy, jua huna chako. Mtu anayekupenda hata awe busy vipi lazima ajiibe hata akutumie ka sms.
Achana na mapenzi fanya issue nyingine
 
Hallo ndugu zangu

Nina mchumba wangu ambaye tumepanga kuoana mimi na yeye mwaka kesho. Ila hali za huyo mchumba wangu mpaka sasa hivi na shindwa kuzielewa kabisa.

Mimi huyo mchumba wangu ni mtu ambaye amesoma ni msomi kabisa na anafanya kazi ya usecratary kwenye kampuni fulani apa mjini. Na mimi na fanya kazi zangu mjini apa za kawaida tu.

Sasa huyo mchumba wangu tangu apate kazi hiyo ni mtu wa ubize ubize tu kila saa yaani yeye hana mda wa kutulia nyumbani kabisa eti labda unaweza kuonana naye au kuongeya naye kwenye simu mda uo hana ni mtu wa ubize ubize na nikikutana naye mda wote yeye ni mtu wa kunikosoa kosoa hata kama yeye ndo ana kosa mda wote yupo ivo tu

Hivi ni njia gani ni tumie kuishi na mwanamke kama huyo au nimpege chini ni mtafute mwanamke ambaye ajasoma kama mimi
Maana hawa wasomi mmmm sio watu wazuri kabisa wanajiona wadogo zake Mungu
Yaani u secretary tu ndio awe busy..Blaza unachapiwa..tena unachapiwa na waliokuzidi kipato ndio maana kila kitu unakosolewa..fanya mambo mengine ya kujenga nchi,achana nae..ukiendelea utakufa vibaya wewe
 
Back
Top Bottom