Hapakuwa na uwezwkano wa kumrekebisha,anaongea hakupi nafasi ya kuongea. Mie si muongeaji sana,nikaona ananibore tuUlimueleza kuwa unakerekwa na hilo au uliamua tu kumtosa kwa kufikiria ni impossible yeye kujirekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Je umeshawahi kukaa nae ukazungumza jambo linalo kukera ukiwa nae??? Kila mtu katika uhusiano humpenda mwenzi mwenye tabia Fulani, yeye amekupendea uongeaji wako kwasababu unamchangamsha.
BTW usiombe upate manzi mwenye gugu ndani (subwoofer) utachezeshwa visingeli mpaka ujute mkuu
Pilato 007
That's the reality in my mind at this moment...yaani ataka kumpeperusha ndege wake kwa sababu isiyo na nguvu kuvunja mahusiano..muache tu wengine kama akina sisi mikono yetu iko standby kunasa type hiyo adimu
Hahah, mkuu mtoto i admire her a lot. Uzi wako si ajabu ukanipatia jiko.
Sure,mimi sio mpole and sipendi kuongea sana. So, nikamix na habari zingine nikaona hapana hapa nitajichosha tu,simuwezi huyu.Duuuh mkuu umeniacha hoi na huyo chiriku wako hehehe.
Sasa ukapimwe mkojoJiko hilo apo ila jitathmini amesema hapendi waongeaji hovyo, heheh
Yameshanikuta mkuu, ki ukweli unachozungumza kina ukweli mtupu. Unapohitaji faraja hasa kwa jambo ambalo limekukwaza katika maisha ya kila siku huwa huipati toka kwa watu wa aina. Mwisho wa siku aidha ukubali uwe mwenyewe ujiliwaze (sijui ufanye nini?) Au utafute kampani ya nje kwa marafiki, ndugu au jamaa kwani kila unapofikiria kurudi kwake roho inazidi kusononeka kwamba haweza gundua hisia zako na akakufurahisha ingalau akutoe au akusahaulishe na matatizo. Ni changamoto kwa kweli.
Duuh!!such people ni shida kuwa naoHapakuwa na uwezwkano wa kumrekebisha,anaongea hakupi nafasi ya kuongea. Mie si muongeaji sana,nikaona ananibore tu
That is..
We can profit from the parrots though if they at least speak senses, but stupidity, gossips, that one i am sorry sister you may sell it to the bloggers.
Jiko hilo apo ila jitathmini amesema hapendi waongeaji hovyo, heheh
Umenimaliza mkuu!😀😀😀
Yaani hatukuwahi onana,we just talk thru the phone but mmmh. Nikaona hapa sio nikayeya
Sasa huko chumbani kutakuaje unafikiri???, si utadhani kuna msiba.
That is..
Hapakuwa na uwezwkano wa kumrekebisha,anaongea hakupi nafasi ya kuongea. Mie si muongeaji sana,nikaona ananibore tu
Nahisi ni heri yako maana kwenye kuonana ingebidi uchukue mwamvuli wa kuzuia mateYaani hatukuwahi onana,we just talk thru the phone but mmmh. Nikaona hapa sio nikayeya
No,hatukuweza kuonana. We just talk thru the phone just 2 days if not within 24 hour. Kilichonikera mtu hata hatujafahamiana vizuri,basi kuwa hata na Ka staha bakisha maneno tukionana. Mmmh!!! Haikuwa hivo nikajipa moyo mengine he is excited mmmh.Hiyo ngoma yako ilikuwa too much, inawezekanaje mtu ukazungumza peke yako kama umeweuka huku mtu anakuangalia tu, hata kujishtukia hakuna duuuh
Nahisi ni heri yako maana kwenye kuonana ingebidi uchukue mwamvuli wa kuzuia mate
Sent using Jamii Forums mobile app