ExactlyChatter box
Ila sio siri mi naona mwanamke kuwa mpole is sexy, kuliko wale waongeaji wenye mashoga kila kona kutwa umbea tu kwenye social networks au nyumbani.
Given that mwanamke ananiskiliza na kuniheshimu, yupo loyal sio malaya,yupo romantic and she is getting nasty with me whenever i want her...i will care less of the other traits.
Nawafeel sana madem wapole, im a funny guy who likes to see them smile everytime im around!Unachosema ni kweli, wapole wengi ni loyal sana na warembo kwelikweli..
Ndio[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wewe mshukuru mama yako maana alikuwa makini kitovu kikianguka kwenye sehemu ya siri ikigusa Basi hata madoctar huwa wanashauri kuwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!! Hilo lenyewe ni janga tosha..unataka mshikishwa ukuta [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mla Bata hayo machungu hata mimi yalinikuta. Unaweza ukaongea weee yeye anakutolea mimacho tuu.. Au unamchekesha anaishia kuonesha meno..
Ila kwasasa naenda nae sawa!!
Mwenzetu atafuta mtu aliyepata uhanisi accidentally bila ya kupenda [emoji56] [emoji56]
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Sasa kitovu kikianguka kwenye sehemu za siri inakuwaje..mkuu tufafanulie maana kwa wengi litakuwa geni hili [emoji30]
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Ila sio siri mi naona mwanamke kuwa mpole is sexy, kuliko wale waongeaji wenye mashoga kila kona kutwa umbea tu kwenye social networks au nyumbani.
Given that mwanamke ananiskiliza na kuniheshimu, yupo loyal sio malaya,yupo romantic and she is getting nasty with me whenever i want her...i will care less of the other traits.
Watu wanatamani kupata wapole wewe unatamani mcharuko,nakupa pole kwani unakaribia kuruka jivu na kuukanyaga moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mla bata naomba kujua umempata wapi uyo dada maana na mim namtafuta san mpenz mpole mweny sifa kam huyo unaemchoka ndgu yngu.
Ushaur wngu, huyo ni almasi mchangan ndgu usikubali mpoteza, si ajabu ata ulimkuta bkira, ukimuacha utakuw ujamsaidi wala kupata solution yako mkuu. Wew mpende tu kw manufaa yenu wote kaka
Hisia sina kiukweli[emoji21]Mapenzi[emoji85] ..kwani hunaga hisia za kale kamchezo[emoji87]
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app