Haaaa haaaa...huwezi amini hiyo njemba nishaijua Mase[emoji15] [emoji15]
Tongoza tongoza hiyo[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lake twamshauri but anakazania kupinga tu..zama hizi kupata mwanamke mwaminifu ni bahati na yeye anataka kuichezea bahatiUsimuache huyo Dada mkuu...
Mwanamke nae akiwa mwongeaji ana kera sana asee bora mkimya!
Tena kipindi hiki cha awamu hii kilivyo so tough mi ningekuwa mwanaume ningehitaji mwanamke mkimya coz sitaki kuongezewa stress za maneno, nahitaji mda mwingi kutafakari!
PS:
Binafsi sipendi mwanaume mwongeaji, atanikata stimu mapemaaa kama alivyosema Maserati...narudia usimuache huyo Dada!
Sent using Jamii Forums mobile app
Doris naona umeguna tu [emoji28] [emoji28]
Sina chakuongea nashangaa nyie wanaume mnataka nini yaani hamueleweki mnataka nini mwanamke anakupenda sio mhuni katulia upole wake ndio umuache angekuwa muongeaji kama sisi ooooh anaongea sana sijui mpewe donda nduguDoris naona umeguna tu [emoji28] [emoji28]
Toa mawili matatu tujuze uoni wako kwa hii team[emoji117] MUONGEAJI Vs MKIMYA
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa huo uchochezi...tushakuwa wala bata?..binafsi sipendi mwanamke firimbiSina chakuongea nashangaa nyie wanaume mnataka nini yaani hamueleweki mnataka nini mwanamke anakupenda sio mhuni katulia upole wake ndio umuache angekuwa muongeaji kama sisi ooooh anaongea sana sijui mpewe donda ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa wenzio wapole wanaona shida[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa huo uchochezi...tushakuwa wala bata?..binafsi sipendi mwanamke firimbi
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Mmh nakwambia ningekuwa na chiriku ningemwambia tubadilishane [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ulie nae bubu au[emoji15]Mmh nakwambia ningekuwa na chiriku ningemwambia tubadilishane [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Ofcourse that's my point..hapo tatizo ni wewe mwenyewe tu..why ukose furaha kisa ukimya wake?...kwani ukimuongelesha hakujibu?..maadam ni muaminifu kwako na hakukosei kwa kukusudia basi huna budi kumvumilia..jipe moyo na uamini kuwa utafika wakati ataathirika na tabia zako then utayaona mabadiliko taratibu..it will take time but naamini halishindikani hilo..namuunga mkono yule mdau mwenzetu humu aliyekushauri kumuoa
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna ububu kwa huyo..ushaambiwa mwanamke msomi na mwaminifu lakini bado hajaridhika..mla bata ataka kuongeleshwa 24/7
Usimuache huyo Dada mkuu...
Mwanamke nae akiwa mwongeaji ana kera sana asee bora mkimya!
Tena kipindi hiki cha awamu hii kilivyo so tough mi ningekuwa mwanaume ningehitaji mwanamke mkimya coz sitaki kuongezewa stress za maneno, nahitaji mda mwingi kutafakari!
PS:
Binafsi sipendi mwanaume mwongeaji, atanikata stimu mapemaaa kama alivyosema Maserati...narudia usimuache huyo Dada!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sidhani kama kuna ububu kwa huyo..ushaambiwa mwanamke msomi na mwaminifu lakini bado hajaridhika..mla bata ataka kuongeleshwa 24/7
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wapo ambao wamefikia kuoa mabubu kwa kutafuta upendo wa dhati
Bola hao Mimi natafuta hanisi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wapo ambao wamefikia kuoa mabubu kwa kutafuta upendo wa dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mla bata ukishindwa kuvumilia nishtue nikurithi kabla wengine hawajamuwahi mwana mpole huyo [emoji12] [emoji12]
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Just for laugh..namitakia maisha ya maelewano tena ya ndoa kabisaHahaha mkuu, nitakupa mrejesho
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] eheeee hanisi haja majanga ya mapenz kila mtu anayake