Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
8,164
Reaction score
18,671
Habari wanajamvi , kama kichwa cha uzi wangu kinavyosema , mimi ni kijana mvulana ambae nipo kwenye mahusiano na msichana wangu takribani miaka miwili sasa, kiukweli huyu msichana she is beautifull and very nice to me na ni mwaminifu kwangu lakini, kiukweli nampenda na ananipenda sana.

Shida ni moja toka naanza mahusiano nae mpenzi wangu huyu anatabia ya upole iliyopitiliza tofauti na mimi mwenyewe , mimi ni mtu mmoja mzungumzaji sana na ninayependa talks, na nikitu ambacho hata yeye anaenjoy kwangu coz namfanya kila mda anafurahi , mwanzo nilijitahidi kumchangamsha ili niende nae sawa lakini ilikuwa ngumu kubadilika.

Kiukweli naboreka sana na huu uhusiano though nampenda, my gf sio mtu ambae anaweza kuona nipo offmood kisha akanifanya nifurahi , she is not friendly yani kiukweli anabore ukiacha maswala ya mahusiano hakuna mambo mengine ya kijamii anaweza akazungumza nikafurahi, tukiwa wawili mi ndo the only person ambae nazungumza yeye ni mpenzi mtazamaji, unaweza ukakuta njia nzima nazungumza mimi au tukiwa chumbani usishangae kashika tama ananiangalia huku anatabasamu tu.

Sasa naamini kwenye mahusiano ili mpate kudumu ni lazima muwe na urafiki (watu ambao mna kitu zaidi ya mapenzi) sasa huyu mwenzangu ni msomi lakini anaonekana amekosa communication skills n social interaction na kiukweli nishazungumza nae sana ili nimbadilishe lakini jibu lake ni moja kuwa hivo ndivo alivyozaliwa na malezi ya utotoni ndio yamemfanya awe hivo plus na shughuli zake anazofanya zinamfanya akose social interaction

Sasa kiukweli mimi ndugu zangu nahisi kuchoka na hii hali coz imefikia kipindi nakuwa bored sana yani sometimes hata akipiga simu najisikia uvivu kupokea yani kama somo nimeshaelekeza lakini mwenzangu ndo imeshindikana kubadilika , imefikia kipindi natumia mda wangu mwingi na washkaji zangu na rafiki zangu wengine wakike na naenjoy zaidi kuliko nikikaa na mpenzi wangu , naombeni ushauri wenu wakuu kipi cha kufanya hapa ili nijenge kuliko kubomoa coz napata wazo la kumuacha ila nashindwa coz kiukweli nampenda and she is so loyal to me sema ndo vile no enjoyment kabisa kwenye uhusiano.

IMG_1953.jpg
 
View attachment 585321
ila kwa upande mwingine hii ni tabia yake (upole) ni ngumu sana kumbadilisha aisee huenda alipitia maisha fulani ndio maana yupo hivyo
 
Mkuu una mpenzi maiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi watu wa hivyo huwa hawajui mambo mengi yanayoendelea ulimwenguni.

Mshawishi awe anasoma soma vitabu kuanzia vile vya mapenzi mpaka na hivi vya kawaida .

Ukiweza kumfanya ajue mambo mengi akikaa na wewe hatokosa cha kuzungumza.

Pia inaonesha bado hajakuzoea anahisi akiongea kama ataongea pumba vile kwa hiyo anaona suluhisho pekee ni kukaa kimya.
 
ila kwa upande mwingine hii ni tabia yake (upole) ni ngumu sana kumbadilisha aisee huenda alipitia maisha fulani ndio maana yupo hivyo
Kutokujua mambo mengi ndiko kunakomfanya kutokuwa mzungumzaji.

Angekuwa anajua vitu asingekuwa mvivu kuchangia.

Kwa hiyo suluhisho pekee kwa huyo msichana ni kumfanya ajue vitu na mambo mengi yanayoendelea hapa ulimwenguni .
 
Mmmh nakubaliana na wewe ila wengine ni vigumu kubadilika

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Kuwa na mpenzi wa aina hiyo ni unaboreka kweli kweli. But jitahidi tu,since she is loyal lakini Nina wasiwasi italeta Shida some other days
 
Back
Top Bottom