Mpenzi wangu simwelewi

Pochi ndo inapendw pole but chunguza kabla ya maamuzi all the best[emoji126] [emoji108]
 
NIna jamaa yangu alikuwa ameowa, mke alikuwa anasafiri kwenda kwao,,,, Akienda huko anakaa muda mrefuuu...!!!! kumbe alikuwa ameolewa huku na huko...

Mpaka inakuja kujulina ilikuwa baadaye sana, tena baada ya ndugu kuona soyo jambo zuri...

SIKU NYINGINE AKIENDA KWAO NENDA GHAFRA... NA UKAULIZIE MAJIRANI AMBAO HATA HAWAMUHUSU KIUNDUGU
 
Angalia usije ukaji murder! Kwanza huyo ni mwanafunzi miaka wew utakuwa na nyota ya jela miaka 30!
 
mmmh...unasomesha mwanadada!!!!???
 
Teh,Teh..mapenz bana.anyway umenikumbusha machoz niliyo mwaga kwa ajil ya mtoto mmoja wa kichaga aliponitema.sito sahau,,ila namshukuru Mungu nili move on and I,m well now.ila nmeapa kutopenda tena,ntakuwa nawachakaza tu mpka nifikishe umri wa 28,ambapo ntatafuta wa kutulia naye ili nkifika 30 nioe
 

Hahahaaas kama bado hana.
 
Ana laini 3 huyo, akiwa kwako anaweka laini unayoifahamu, akitoka kwako anaweka laini nyngne usimpate, akienda kwa mwingne anapachika laini mpya woote mnakuwa hammupati kwenye simu chazea watoto wa siku hizi weyeeee?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…