Mpenzi wangu simwelewi

hapo sasa baaaasi!
 

That is it....
 
Mkuu ni kitu gani ambacho hujakielewa hapo? Ina maana ulikuwa na mpango wa kumsumbua na simu simu au texts zako wakati umeshaambiwa atasafiri kwa muda?Waache wenzio wajinafasi banaa. Usiwe msumbufu....kubaliana na nafasi yako kwa huyo binti then uamue kusuka au kunyoa.
 
Hahahaha umenifurahisha sana
 
Unajifanya humuelewi,wakati ushamuelewa ila nafsi inapingana na ukweli kila ukizikumbuka honey,baby,sweet, choklet na nyingine nyingi tamu zaidi ya asali.
 
Unajifanya humuelewi,wakati ushamuelewa ila nafsi inapingana na ukweli kila ukizikumbuka honey,baby,sweet, choklet na nyingine nyingi tamu zaidi ya asali.
Hahahaha nimecheka kwa nguvu
 
Mdogo? ??? Nasikia mdogo ni yule wa kumzaa. Atakuja kukushangaza. Anyway, pesa ni zako, uamuzi ni wako, ila usijesema hawa kukwambia
 
Hili neno duh kweli kaka
 
akili kichwani
 
Zawadi yenye malipo kwamba unampa anakup papuchi haibiwi mtu hapa
 
Achana nae huyo hakupendi kabisa muogope!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…